Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
kipind cha kwanza wasipofunga na kufunga cha pili hapo utakuwa umekula au?
Ina maana gani hapo
Hawa Premier betting wanatoa mpaka ml 20! Ikitokea mtu anapiga Hamna usumbufu?
leo naogopa chelsea na man city wanaeza kudraw au mmoja kushindwa.au wadau mmaonaje?
Mkuu hizo lugha usitumie humu watu tushatandika mikeka.. hizo lugha ndio zinatufanya tuliwe. Kwa jina la mwanzilishi wa kamari leo Man U, City, Chelsea na Barca zinashinda na asubuhi tutamrudishia pesa ya supu. AMEN
ok kaka.mie leo naangalia kwanza nimeweka 1st half tu.draw southampton,crystal of palace,west brom,athleti club.odds 17.8
andybird vipi umefaidika na uzi lakini? au ndio mwendo wa loss tuu kama sisi wengine?
Monaco, barca, psg., man u hapo vp
ok kaka.mie leo naangalia kwanza nimeweka 1st half tu.draw southampton,crystal of palace,west brom,athleti club.odds 17.8
mjomba kamari ni noma sanajamani mtoto wa nzi heshima kwake....anamikeka ambayo mhindi aruki.....kesho narudi rasmi mikekani baada ya likizo ya kipindi flani