Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UEFA CHAMPIONS League top scorer. Messi amepewa odds 2.20.
Katupiemo ka-laki tano (5) alafu fanya kama umesahau.. Dakika ya mwisho ya mechi ya UEFA fainali... unakula milioni mbili na laki mbili.
 
leo naogopa chelsea na man city wanaeza kudraw au mmoja kushindwa.au wadau mmaonaje?
 
Mbona natuma hela m.bet aziendi kwanzia SAA tano mpaka sasa naambiwa tunatatizo lakiufundi au wameogopa kupigwa Leo?
 
leo naogopa chelsea na man city wanaeza kudraw au mmoja kushindwa.au wadau mmaonaje?

Mkuu hizo lugha usitumie humu watu tushatandika mikeka.. hizo lugha ndio zinatufanya tuliwe. Kwa jina la mwanzilishi wa kamari leo Man U, City, Chelsea na Barca zinashinda na asubuhi tutamrudishia pesa ya supu. AMEN
 
ok kaka.mie leo naangalia kwanza nimeweka 1st half tu.draw southampton,crystal of palace,west brom,athleti club.odds 17.8
 
mkuuu heshima kwako...dah yani leo bado kidogo ningeukopi huu mkeka yani najilaumu hatari...kuna maisue ya hpa na pale yamenibana siku nzima nakuja kushtuka mechi zishaanza...hapa najua unasubiria mechi ya espanyol tu ule mzigo.....mkuu upo vizuli kesho ukitandaza mkeka ntaenda hata kukopa niweke.....daahh hatarihatari mkubwa....Respect sna kaka....
 
jamani mtoto wa nzi heshima kwake....anamikeka ambayo mhindi aruki.....kesho narudi rasmi mikekani baada ya likizo ya kipindi flani
 
jamani mtoto wa nzi heshima kwake....anamikeka ambayo mhindi aruki.....kesho narudi rasmi mikekani baada ya likizo ya kipindi flani
mjomba kamari ni noma sana
MKEKA WA 28+ anaua athletico anafunga dakika ya 10....
MKEKA wa 3+ chelsea anaua.....
MKEKA wa normal nao chelsea anaua.....

NIMESHAVURUGWA ..KESHO NAYO NI SIKU....
 
dah kudadeki...yani hawa espanyol daahh....bhrother kesho pia ni siku ingine
 
Back
Top Bottom