Namba ya kampuni 238844, kumbukumbu namba ni MKEKA au Namba ya simu uliyojisajilia kwenye kampuni ya mkekabetMsaada namna gani mtu anaweza ku deposit mkeka bet leo kwa mara ya kwanza nataka niwajaribu hao jamaa
Raha ya hawa jamaa pesa hata saa sita usiku unavuta mpunga, tatizo lao wana options chache ambazo ni ngumu.Namba ya kampuni 238844, kumbukumbu namba ni MKEKA au Namba ya simu uliyojisajilia kwenye kampuni ya mkekabet
wapigie mkuu 0677262222Salama wakuu. Kuna withdraw nilifanya jana kupitia princess bet mpk sasa pesa haijasoma kwa mpesa. Naona wale wadada wa kuchat live nao hawapo. Naombeni msaada kama kuna mwenye namba zao za simu niwatwangie
Aksante mkuu nimewapata.wapigie mkuu 0677262222
yesHiv over 0.5 goals maana yake goli lianzie moja kuendelea ama;???
kama draw ni inclusive hapo ngoja nikaifanyie kazi hii option
Maelezo yako yana ukweli....Hapana Mkuu, leo asubuhi nilipitia zile "Betting Rules" zote za premierbet lakn hawajafafanua hii option.
View attachment 643015
Ila kwa kutumia reference ya "Draw No Bet", nafikiri wana maana hii ...
a). Home No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "Ugenini ashinde", ikitokea wa nyumbani ameshinda basi unarudishiwa chako (i.e. Bet is void)
b). Away No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "nyumbani ashinde", ikitokea wa away ameshinda basi bet is void.
Mkuu kumbukumbu namba inakuaje maneno tena wakati tigopesa napata option ya kuandika namba tu?si maneno hayo "MKEKA"Namba ya kampuni 238844, kumbukumbu namba ni MKEKA au Namba ya simu uliyojisajilia kwenye kampuni ya mkekabet
Soma vizuri "mkeka au....Mkuu kumbukumbu namba inakuaje maneno tena wakati tigopesa napata option ya kuandika namba tu?si maneno hayo "MKEKA"
Ninatumia tigopesa MkuuTo deposit, follow these instructions:
Mr. Wise
- Make sure you have enough money in your M-pesa account. ...
- Select 4 - Pay Bills.
- Enter business number - 238844.
- Enter the reference number - MKEKABET.
- Enter the amount you want to pay (Minimum deposit Tsz 250)
- Enter your PIN number.
- Then press 1 to confirm.
Kumbukumbu No. Ya mkeka ni 123458Mkuu kumbukumbu namba inakuaje maneno tena wakati tigopesa napata option ya kuandika namba tu?si maneno hayo "MKEKA"
Okay, hii namba ya simu naweka kwanza country code yani +255 au naanza tu na 0714.....?Soma vizuri "mkeka au....
Anza na 714......Okay, hii namba ya simu naweka kwanza country code yani +255 au naanza tu na 0714.....?
Ninatumia tigopesa Mkuu
Usiweke 0Okay, hii namba ya simu naweka kwanza country code yani +255 au naanza tu na 0714.....?
Mimi huwa natumia m pesa naingiza neno mkeka inakubali tu, test naweweMkuu kumbukumbu namba inakuaje maneno tena wakati tigopesa napata option ya kuandika namba tu?si maneno hayo "MKEKA"