Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante nimefanikisha, je nikitaka kuona slip yangu niliyo place naangalia wapi
 
mkeka huu utatupatia majibu nimeupa shilingi elfu moja tu kwa ajili ya research
 
mkuu ukaombe nanafasi ya ukufunzi kwenye vyuo sasa maana sio kwa ufafanuzi huu
 
Mkuu kumbukumbu namba inakuaje maneno tena wakati tigopesa napata option ya kuandika namba tu?si maneno hayo "MKEKA"




Mbona hata kwa Tigopesa inakubali kuandika neno "mkeka" kwenye kumbukumbu namba


 
Asante nimefanikisha, je nikitaka kuona slip yangu niliyo place naangalia wapi
1. hatua ya kwanza


2. hatua ya pili

baada ya hatua ya pili kushoto kwako zitafunguka betslip zote, utaweza kuona betslip zilizo pending, lost na won
 
Manchester City - West Ham Utd
BTTS Yes
1.91

AC Fiorentina - US Sassuolo
AC Fiorentina
1.52

Hertha BSC - Eintracht Frankfurt
BTTS Yes
1.87

Vitoria BA - Flamengo RJ
Vitoria BA
1.91

SV Zulte Waregem - KAA Gent
SV Zulte Waregem
3.18

FC Thun - Young Boys Bern
BTTS Yes
1.50

Alessandria Calcio - US Gavorrano US
Alessandria Calcio 1912
1.46

Sport Rosario - Juan Aurich de Chiclayo
Sport Rosario
1.52

Odds: 109
 


Hebu ngoja nichangamkie fursa, maana Villareal ameshafanya us**ge huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…