Nilikuwa najishauri nicashout au laah, hatimaye mapilipili ameondoka na stake yote....Wewe acha tu, nipo nawaza ningetafuta odds 30 kutoka humu nikaweka 10k
Dah pole sana mkuuNilikuwa najishauri nicashout au laah, hatimaye mapilipili ameondoka na stake yote....
ngoja nimsubirie Braga na Sao Paul..nione kama nitarudisha stake zangu kwa siku ya leo
Nimeiogopa acha niibeti kwa hisia tuDuuh mkuu nahisi hela hii ...
NBA Development League
01:00 Iowa Energy v Texas Legends
over 236.5
odd 1.60
Mzee hapa naamini 1.5 imeingia leoSafari hii ni yetu sote...leo mimi kesho wewe hakuna kulose hope....it's not over until you win.
View attachment 643580
Dah alafu Ndio inakuaga hivi ukiweka nyingi inachana Ukiweka kidogo InakubalHapana mkuu...niliweka stake 5000 baada ya mikeka yote kuchanika chanika
Mzee hapa naamini 1.5 imeingia leo
Pole SANAhuu ndio ulikuwa ulete 500K na ushee....B.Moch...ameshindwa kupata goli hata moja....
View attachment 643605
Pole sana mkuuhuu ndio ulikuwa ulete 500K na ushee....B.Moch...ameshindwa kupata goli hata moja....
View attachment 643605