Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

humu ni kutabiri/kubashiri matokeo baada ya dakika tisini za mchezo(mpira wa miguu)
kuna michezo mingi kama mpira wa kikapu, tenisi, hockey, na mingine mingi kwa kuanza tu wewe unapendelea mchezo gani ili upate ushauri kulingana na mchezo wako
Mpira wa miguu ndio nina interest.
 
Mpira wa miguu ndio nina interest.
kuna matokeo matatu tu kwa mtu anae anza kama wewe
1, x, 2
1-timu inayo cheza uwanja wa nyumbani ishinde
x-zitoke sare iwe ya 0-0, 1-1 n.k
2-timu inayocheza uwanja wa ugenini ishinde
swali ni je kama wote wanacheza ugenini? majibu ni hayo hayo tu ushindi droo ushindi.
wengine watakuja kuendelea
 
Mkuu moyo wako umeupangaje kwanza maan huku ni zaidi ya chuma aisee mhindi hana utani na business yake sisi wengine mioyo imekuea sugu tunapigwa lakini hatukomi ndo kwanza twapata matumaini mapya kuwa labda leo lakini wapi makofi yako palepale
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji6] inaonekana cku nyingi sana kanji ujamuotea nimecheka sanaa aiseee
 
Mkuu demigod nimekucheki inbox VIP nataka kokolo LA under 5.5 kwa premier niweke timu kama ngap???na odds s zinaanzia 1.06[emoji1] [emoji1]
Yaani hapo uweke tm kumi ndo unapta 2 odds zenye odd 1.06
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji6] inaonekana cku nyingi sana kanji ujamuotea nimecheka sanaa aiseee
 
usichambue nimeshachagua ... 15000 unahela ndefu kesho
 

Attachments

  • Screen Shot 2017-12-08 at 12.00.43 PM.png
    52.5 KB · Views: 50
  • Screen Shot 2017-12-08 at 12.01.29 PM.png
    23.9 KB · Views: 49
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…