jem_the_great
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 289
- 158
odds zinafika ngapi?
Upo kaka!! Umeadimika MMU!!
Sure tusipoangalia tutapigwa tu
Hamna bana nimeafikiri nimeona nirudi tu.
Mechi mbili mwisho kuanzia leo mambo ya kuweka mkeka hapana ni kujiua.
3.5 mkuu...
Hamna bana nimeafikiri nimeona nirudi tu.
Mechi mbili mwisho kuanzia leo mambo ya kuweka mkeka hapana ni kujiua.
Huyo Lyon yuko France na huko ni draw au kupigwa.
Unakumbuka ya PSG Jana?
Ila zingine poa
Hamna bana nimeafikiri nimeona nirudi tu.
Mechi mbili mwisho kuanzia leo mambo ya kuweka mkeka hapana ni kujiua.
Ndugu mteja muamala wako transferId umefanyika kikamilifu. Tiketi #189252 .Ya kuuzwa 2015-02-14 18:55:04.Dau: 50,000.00 Tsh. Uwezekano wa kushinda: 246,441.10 Tsh.HER lose:1.42,CRY lose:1.95,WAA lose:1.78,seti #82K .Hamna bana nimeafikiri nimeona nirudi tu.
Mechi mbili mwisho kuanzia leo mambo ya kuweka mkeka hapana ni kujiua.
Kweli kaka,
Timu2 hata ukipata odd1.6 ni bora kuliko odd40 zisizo na uhakikas
Yaani mkuu Fanya hivyo...possibility ya Ku lose inakuwa ndogo..
Ningeshangaa! Usirudii!
Mkuu hebu nipe ufafanuzi juu ya acc ya Bet365, nitumie bank gani, na withdraw inachukua siku ngapi?
Hawana usumbufu?
Meridian wameshanichosha aisee, live game hasa Basket ni nzuri sana Bet365!
Huwa inachukua siku 3 ambazo ni za kazi unapata hela yako, wanadai ni sababu ya international transfer ndo maana siku tatu kwa wanaoishi UK ni siku hiyo hyo.
Usumbufu hawana kama utakamilisha KYC... Know Your Customer ambapo utatakiwa kuwatumia Passport na Licence au ID Card yoyote ile ikionesha same details kama Passport.
Hii hukamilika baada ya week nzima kwani wanafanyia verification. Hii KYC ni kama wataka withdraw ndo watakuambia ukamilishe ukisha kamilisha tu basi hawatakusumbua tena wewe ukishinda tu unatoa hela yako.
Site yao iko fast sana na wameiongezea siku hizi kwenye mkeka wako kadri timu zinavyocheza unaweza ona timu gani inaharibu kwani wanakuwekea live game kwenye mkeka ukionesha goals etc.
Wana cashout. Yaani mfano umeweka timu tisa na nane zimeshinda tayari hyo ya tisa unaona kama itaharibu waweza toa hela yako
ona huyu jamaa alivyojitoa akili kwa uefa kesho kutwa
Hapo kwenye passport patanichelewesha, maana sina passport.
Hakuna ID nyingine inayoweza kutumika kama alternative to passport?
Ndugu mteja muamala wako transferId umefanyika kikamilifu. Tiketi #189252 .Ya kuuzwa 2015-02-14 18:55:04.Dau: 50,000.00 Tsh. Uwezekano wa kushinda: 246,441.10 Tsh.HER lose:1.42,CRY lose:1.95,WAA lose:1.78,seti #82K .
kuliwa kuliwa tu hata uweke moja....
liverpool kortijk na fayernood....timu 3 za uhakika na nimepigwa.....KULIWA KULOWA TU
chelsea anashinda .....