Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama uliangalia mechi ya westham vs man city wiki iliyopita ni rahisi kubashiri haya yaliyotokea leo. Jamaa baada ya kuja Moyes ile fighting spirit imerudi, na kipa wao anafanya saves za hatari sanaaa.
 
Huu mchezo bana unaweza jikuta umeotesha mabusha mawili yaan mapacha yaani unabana kende mwanzo mwisho lakini wapi weeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…