Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nisamehe mdau leo ndo nimejoin humu...ila nilituma tu kuhusu mCHEZA BET kua ni kampuni mpya watu wanaweza kujisajili nakuanza kucheza...
Sikujua utaratibu...”MNISAMEHE SANA SASA NIMEJUA” ntakua naweka hapa[emoji106][emoji120]
poa fanya hivo na wenzio tumkalishe kanji sio kupost tu mkeka ambao umeshawin. lengo la kukutana humu kubwa zaidi nikushare jinsi ya kumkalisha kanji.
 
Nisamehe mdau leo ndo nimejoin humu...ila nilituma tu kuhusu mCHEZA BET kua ni kampuni mpya watu wanaweza kujisajili nakuanza kucheza...
Sikujua utaratibu...”MNISAMEHE SANA SASA NIMEJUA” ntakua naweka hapa[emoji106][emoji120]
weka link
 
Sawa [emoji144]‍♂️[emoji144]‍♂️
 
***** monaco keshaharibu biashara ngoja nilale mapema nisubili hiyo kesho naamka vipi.... keshapigwa la pili [emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…