Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
ngoja niutupie huu
Ukifanikiwa niambie Maana nami inaxingua hivohvowakuu kuna aliye register mcheza?anielekeza kwenye password.maana nikiweka password zangu inagoma nikitumia za kwao igoma .sijajua nakosea wap?
Reference number ni ipi?Ingia kwenye Akaunti yako ya mCHEZA Fanya yafuatayo :
1.Chagua "KUWEKA"
2.Chagua "DUSUPAY"
3.Weka kiasi cha Pesa
4.Thibitisha malipo Kwa "DUSUPAY"
5.Kamilisha malipo yako.
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi huduma Kwa mteja 0764 701 600
Au tembelea Kurasa zetu za mitandao ya kijamii Facebook @mCHEZA TZ Twitter @mCHEZATZ
Instagram@mCHEZA_TZ
mCHEZA USHINDI KOTEKOTE
Reference number ni ipi?
Ooooh nimekuelewa mkuuView attachment 647690
Mfano kwa hapo ni hiyo inayoanzia 4L...kama unatumia mpesa
Kama tigopesa hua inakua kwenye sms uliyopata baada ya kufanya muamala utaona inasema “kumbukumbu no: 206063...
Hiyo ndo unayoingiza...
So angalia muamala wa kudeposite uloufanya utaona
Ooooh nimekuelewa mkuu
Hapo vp
Ni over 1.5 goals kakaHapo Southampton na arsenal na man u na man city under 1.5 goals nomaaa
Ni over 1.5 goals kaka
Yaani ni km gsbOoooh nimekuelewa mkuu
Yaani ni km gsb
Milan piaKaa Mbali na BARCA leo
Milan limebaki jina tuMilan pia
Gal sport bet sema mcheza web yao nzito Sana au cm yngGsb ni ipi mkuu?
Gal sport bet sema mcheza web yao nzito Sana au cm yng
PoaLabda simu yako au network ya mtandao unaotumia...it very light website
Inafunguka fasta sana