Naona napoli nae ndio anaelekea hukohuko, yaan mitim ya Italy wiki hii ni shidaRoma ni mpuuzi sana yaani kashindwa hata over 0.5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GG sawa ila 3+ noma Mkuuhii Game ya Manchester niki wapa GG&3+ si inatoa wadau??
ashamaliza aseee 0-0 [emoji24]Naona napoli nae ndio anaelekea hukohuko, yaan mitim ya Italy wiki hii ni shida
Rudi mkuu wametoa nilikuwa nawadai magoli mawili Lyon wametoa la pili dakika ya 90 na kushinda.Lyon ujue umeshikilia hela yangu[emoji32][emoji32][emoji32]
Noma sana wameenda na mkeka wangu wa 2+
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nashikwa na hasira nikiona hii mikeka hivi siwezi kuomba kampuni iifute kabisa nianze upya.
Pumzika tu jombaaYaani kila siku nazidi kukonda kweli jamani wakati naanza kubet nilikuwa hivi kweli?
Asante mzee wa vifunguPoleni na kazi wakuu.
ninGekua mim ninGeweka GG&DRAW TREND YA LEO PREFER LEAGUE INATISHAWaungwana gem ya Derby ya Manchester option nzuri ni ipi !!! Mimi nataka nijaribu HIV
1. 28+ odds 2.19.
2. NG. Odds 2.25 Nataka niigawe laki namna hii
Angalia tu usije ukaanza kulia mwenyeweSijamaliza mwaka ila Kinga ya mwili imeshuka sana, Uzito umeshuka sana, mapigano ya moyo sio sawa na enzi zile naanza kubet nimekuwa mweusi sana na pia mwenye hasira za karibu. Nimejaribu kuombewa hasira ziishe ila hakuna mafanikio.
[emoji23]Angalia tu usije ukaanza kulia mwenyewe
ninGekua mim ninGeweka GG&DRAW TREND YA LEO PREFER LEAGUE INATISHA
jackpot sio mate eti kila mtu anaweza kuyameza hahah ilichanika mapema mnoooooMkuu ile jackpot vp?
Nawakumbusha kuna HOCKEY za Canada saa nne leo labda tunaweza pata chochoteHatareee sn Chief ... leo nayo sioni dalili ya hela. Liverpool analeta use***ge.
changamkieni hizo wekeni over 4.5Nawakumbusha kuna HOCKEY za Canada saa nne leo labda tunaweza pata chochote