Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa play master....option zao nizakupendeza....hawa atleast naona wana huruma na pesa zetu....
Mfan option ya over 1 goal, hii ni opt unatakiwa ubashiri zipatikane goli mbili na kuendelea ila likipatikana goli moja unarudishiwa stake yako.....na opt zingine nyingi...kama home team to score, away team to score, nk
 
Mkuu hawa toka jana wananiuliza activation code na hawajanitumia, nashindwa kutumia akaunt yangu mpya
 
watu wamesha itumia mbona
iko upande wa kulia baada ya kuweka mkeka wako ch kufanya unaibonyeza yenyewe ndipo unaandika take yako
Duh nimekomaa nayo mpaka basi iyo bonus nimeshindwa kuitumia
 
Sasa hivi hii kazi nishaijua nimebuni mbinu mpya baada ya kufanya utafiti wa hali ya juu, sasa natangaza rasmi kulipiza kisasi kwa kanji na kutoa kipigo kizito
Tushirikishe mkuu tushirikiane kuzirudisha pesa zetuu...maana me kila nikipewaga za Uso huwa nakujaga na mbinu mpya ila waaapi....naendelea kuchezea kama kawaaa[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…