son_of_masia
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 378
- 265
Naielezea.h
iyo game ya mwisho option yake sijaielewa mkuu
Away team ashinde mechi na kwa tofauti ya goli mbili Na kuendeleah
iyo game ya mwisho option yake sijaielewa mkuu
mkeka uko vzr lkn hpo kwa watford perfomance yke inatia mashaka.tofauti na palace ujio wao nw unaonyesha matumaini
Inaitwaje hii livescore mkuuLigi ya Saudi a Arabia timu nyingi zikiwa nyumbani Zina uwezo mkubwa wa kushinda mechi.
Ni vigumu sana kupoteza.
Mpeni Al arouba ushindi.
Kama unaogopa mpe double chance
Usisite kuijumisha hiyo timu kwny mikeka yenu.
Al arouba kwenye msimamo wa home matches anaongoza ligi na Hajapoteza mechi.
Wakati al Nojoom kwny msimamo wa away matches Yuki nafasi ya 13 na hajashinda mechi yoyote zaidi ya vichapo na sare.
View attachment 649204View attachment 649205View attachment 649206
Yaani ikiwa hata 4.1 sawaAway team ashinde mechi na kwa tofauti ya goli mbili Na kuendelea
Jamaa nimemkubali tangia jana leo nitatafuta odds 2 kupitia kwakeni kuweka mzigo tu