Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Forebet ni wahuni...
 
GG normaly odd zake ni 1.12 - 1.09 kwa league za Canada, USA league zingine ambazo hutoa magoli macheche utakuwa odd zake ndio kubwa kidigo may be 1.2
So kama unahitaji odd nyingi itakubidi uweke team zaidi ya 25
Mkuu ulishawahi kuweka kokoro LA GG maan iceHokey hufungana sana!!
 
Naomba kujuzwa best prediction app mana na app nyingi Lakin mkeka sitoboi
the best app ni kichwa chako humo ndimo utajiri ulimo na umasikini umo humo humo.
wote unao ona wanakula pesa hapa hawajategenea hizo apps kama wamo wanyooshe mikono juu tuwaone na watuambie wanatumia app gani kutabiri
 
the best app ni kichwa chako humo ndimo utajiri ulimo na umasikini umo humo humo.
wote unao ona wanakula pesa hapa hawajategenea hizo apps kama wamo wanyooshe mikono juu tuwaone na watuambie wanatumia app gani kutabiri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli aise naona n livescore pekee tuu
 
Ukiacha mawazo yangu binafsi huwa napita humu kichukua mawazo ya watu binafsi sio ya app. Apps wengi kama ulivyosema wadhamini wao ni hao hao betting coys.
Mkuu siku zote predictions zinazotolewa na websites mbalimbali unatakiwa uchanganye na za kwako...usimeze kila kitu usije ukameza hadi vyura ukidhani ni samaki.
 
Ukibet asubuhi unabet kwa advantage sana,odds za alsadd zimeshuka kutoka 5 mpaka 3.51
Wanakujaga kashtuka baadae kwmb wamebugi kuweka odd.

Jana asbh Al Leckhwiya alikua na Odd 3.19

Saa 10 wakashtukia maumivu wakashusha mpk 1.51 kabla ya mechi kuanza
 
Jana kama leo tu...
Mkeka wangu mmoja umeshakuwa void na stake hawarudishi mpaka muda wa mechi ufike...
 
Hivi kuna mtu anayemuelewa pdidy humu ndani?...asije akawa na yeye anatumwa na kanji,maana yeye anatujazia matips ya kingese ngese humu af tukiliwa anasema tusikate tamaa...

Hajawahi kuweka hata screanshot ya betslip yake...sasa jamani hapa kuna kitu hapa.Huyu jamaa ni agent wa kanji,au ni mtu anayetaka likes kwenye huu uzi...
 
Half time Bursaspor anaongoza 2:0

Mikeka inapumua vizuri.

Takwimu hazidanganyi.

Bursaspor akiwa nyumbani kuongoza first half ni pesa nje nje.

 
Bursaspor hajawahi kupoteza mechi yoyote nyumbani au kupoteza first half.

Ukijitahidi sana first half, umetoa sare kwa bursaspor
 
Hawa mcheza bet mbona kudeposit kwao complicated sana?
ID no ni 008
Then uende du pay.sijui vitu gani
Sisi tumeshavurugwa vichwa na mhindi bado kudeposit pesa nayo tunaliwa...mwenye kuwajua pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…