Hiosioo apple kampuni yakubetia nigeria mkuu wanarusha watu tips ndio nashareHivi pididy hunisikii auuu app inaitwaje ileee[emoji27] [emoji27]
Pididy hii app inaitwaje??? Nijibu tuu[emoji1] [emoji2]Chagua tatu àma NNE
Weka mikeka kadhaa kilalakheriView attachment 649479 View attachment 649480 View attachment 649481
Hii ni kampuni ya Nigeria mkuu umenisikia vibayaChagua tatu àma NNE
Weka mikeka kadhaa kilalakheriView attachment 649479 View attachment 649480 View attachment 649481
Hioo nayosio apple n telegram channel inaitwa Tush tips join utaipataPididy hii app inaitwaje??? Nijibu tuu[emoji1] [emoji2]
Hiosioo apple kampuni yakubetia nigeria mkuu wanarusha watu tips ndio nashare
Naomba linkHioo nayosio apple n telegram channel inaitwa Tush tips join utaipata
ShikamooompwaaaMIDA YA MANGI
Bet won.........
Mikeka miwili nishamuweka chali Muhindi Leo kwa siku ya Leo.
View attachment 649520View attachment 649521
Mkuu...hua unajiamini saana...but mpira unadunda....jamaa Al Saady kachezea 3-2Usiogope odd.
Yuko form sana
Kama vile nilikuepo.......Mwingine huo hapo Odd 3.9
Nmetia buku 14, umeniletea buku 55
****uhakika*****
****fuata nyuki ule asali****
View attachment 649214
Hii inaitwa Fukua makaburi.....Kwa wale waoga.
Mkeka huo apo chini.
Piga ua garagaza hapa muhindi lazima aliwe.
View attachment 649194
Nimemshamkalisha mikeka miwili mikuu.Mkuu...hua unajiamini saana...but mpira unadunda....jamaa Al Saady kachezea 3-2
kuwa siriaz katika kazi kama hutaki kaa nazo mwenyewe ummalize mhindi peke yakoFanya registration kwanza
Mkuu umeleta mapinduzi kwa mhindi endele hvyo [emoji16][emoji16][emoji16]Hii inaitwa Fukua makaburi.....
Vita na muhindi bado inaendelea.