hii Huduma kwa bongo princess bet naona wanayo pita kule utaikutaHapo mimi mgeni ndugu yangu lakini ningependa kujua zaidi sijui unanisaidiaje kujua hiyo virtural?
Mlet3eee hukuhukuu huko atuji mwambie
kama ulivyo na siumizi kichwaNewcastle vs Everton
*Everton No Clean Sheeet*
Swansea vs City
*12 second half*
Spurs vs Brighton
*Spurs normal*
Man United vs Bournermouth
*Man U normal*
West Ham vs Arsenal
*over 1.5 or 2-5 goal range*
Liverpool vs Westbrown
*Liverpool normal*
Liverkursen vs bremen
*DC Liverkusen*
Hoffenheim vs Stuggart
*DC Hoffenheim*
Bayern vs Cologne
*Under 5.5*
Schalke vs Ausburg
*DC Schalke*
H Berlin vs Hannover
*DC H Berlin*
Celtic vs Hamilton
*Under 5.5*
Hibernian vs Rangers
*over 1.5*
Johnstone vs Arbedeen
*Over 1.5*
Al jazira vs Real Madrid
*Under 5.5*
Soton vs Leicester
*Soton No Clean Sheet*
*Odds 40.54*
Pesa hiyo sijawahi tupia mkeka humu sasa hii ni pesa halali kwa malipo ya mtanzania
Karibuni
uko vizuri bigupSio mbaya lakini, jana ilkua siku nzuri.
Leo nayo siku.
Natulia sana kutafta mechi 5 za pesa.
Mungu akijalia leo nikala.
Ntakua nimemla wiki nzima mfurulizo mikeka 2+ kwa siku.
Maana tokea J3 ya last week, nmemla Non stop, isipokua hyo J3 ndo nlimla mkeka 1 tu.
na sare hapo naamini ipo njenjeTAHADHALI
wakuu Belgium kuna hii game ya Club Brudge vs Charleroi
Brudge kapewa Odds 1.5 wakati Charleroi kapewa Odds 6.13
Hii ni mechi ya robot fainali kombe LA ubelgiji
HAWA jamaa Charleroi wanaonekana wako fit sana msimu huu uko ubelgiji.
Kwenye msimamo wa ligi wako nafasi ya 2 nyuma ya Brugge anaongoza ligi.
Huyu Charleroi last week katoka kumkalisha Anderletch goli 3:1
Kwenye msimamo wa away matches kwny ligi, Charleroi anaongoza na kupoteza mechi 1 tu tokea msimu umeanza.
Amekua form sana hv karibuni, hasa mechi zake last 5 alzokutana na vigogo wa ligi ya Belgium.
Nnaamini leo atakaza sana maana hili kombe ana njaa nalo haswa.
Ukitizama hatua zote alzopita mpk kufkia hatua hii alikua akitoa matokeo ya kuridhisha.
Ushauri:
mpe Charleroi goli 2 kibindoni kwny handcap- 1.55 odds
Kwanini nasema hivo:
-Akipigwa kwa goal difference ya goli 1- umekula
-Akitoa sare-umekula
-Akishinda-umekula.
Check takwimu zake hapa chini
View attachment 650003View attachment 650004View attachment 650005View attachment 650006
Sio mbaya lakini, jana ilkua siku nzuri.
Leo nayo siku.
Natulia sana kutafta mechi 5 za pesa.
Mungu akijalia leo nikala.
Ntakua nimemla wiki nzima mfurulizo mikeka 2+ kwa siku.
Maana tokea J3 ya last week, nmemla Non stop, isipokua hyo J3 ndo nlimla mkeka 1 tu.