Pole sana kwani umetoka patupu leo?Hongera mkuu bora hata wewe maana kanjii ana to nyoosha balaah
Nimekosa mkuu bayern na Liverpool wanashindana kumaliza mtaji wanguPole sana kwani umetoka patupu leo?
Dah, inauma sana.....
UjingaDuh, pole sana...
Mm ni zile odd 2.22 nlzotengeneza ndizo zmenitoa.
Nlitia Tsh 48,000, ikatoka Tsh 106,500
Natamani ningekua nmetia laki 5. Ningekua nachekelea milioni sahv
Inaitwa majuto MJUKUUOver 3.5 ... daaah !
Hii inaitwa show ya kibabe.Mmoja tayarii
M nimeugawa mpwaaa .mitano ya chini
Mitano ya juuu..ngoja nisikilizie
Hoffen alitoka vzur, uyu mkuda fayenod kachana ule mkeka.HOFFENHEIM ANAMAANISHA KWAMBA KANINYIMA PESA KWA KUKOSA 2+
Ujinga kivipi mkuuUjinga
Wacha mhindi anyoosheee watuUjinga kivipi mkuu
Akiwanyoosha wee unafaidika niniWacha mhindi anyoosheee watu
Hata sijui, kimbelembele changu MkuuuuuuuuuAkiwanyoosha wee unafaidika nini
Pole sana aiseeHata sijui, kimbelembele changu Mkuuuuuuuuu
Poa mkuuPole sana aisee
Natamani sana kuujua uo mchezo