Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh, hapo nmekupata.

Sema waswahili husema miluzi nayo ikiwa mingi, humpoteza mbwa.

Hebu ngoja tuchekeche za kwetu tuone tunatokaje leo.

Inaitwaga "za kuambiwa changanya na zako"

Hao wa Nigeria sinaga imani nao kabisa.
We ndo umenifanya nijiunge na jamii forum ingawa bado sijawa verified. Naomba kuuliza kuhusu mambo ya betting maaana nshachezea San za USO.
 
Usiogope mkuu, huyo sturggat na mwenzie hawana striker za kueleweka.

Nmewafatilia sn, hawako form.
Maana wote hao Hamna anaefikia 2.5 goals per mat ch

HUYO SIO STURTGART YULE UNAEMJUA WA LIGI KUU.

HAWA NI DARAJA LA CHINI.

Wabovu tu.
 
Yaani kuna matimu yanakera Ugenini yakapata mabao mawili yamekuja nyumbani yanarukaruka kama Mapapai.
 
Sorry wadau,naomba kunijuza kuhusu over and under maana kila nikiweka mzigo muhindi anachukua mapemaaaaa
 
I mean hapo macabbi na beer sheva
USIOGOPE MKUU

Hy ni kawaida sana kutoka kwny game za ligi ya Israel

Kule kuna uhaba mkubwa wa magoli.

Ukzngatia hii game itakua derby, maana hili ni kombe na ni mtoano.

Maccabi alipokua away akipigwa 2:1

Na msimu huu Beer Sheeva yuko form sana na anaongoza ligi.

Maccabi ni mzoefu na umaarufu, sema msimu huu unaoneka haumuendei vizuri.

Kwahyo Najua lazima attastruggle sana kupata matokeo nyumbani ili aweze kufuzu.

Huyu Hapoel Sheeva kwny msimamo wa away, anaongoza na kapoteza mechi 1 tu away.

Na maccabi nae nyumbani yuko vzur maana kapoteza game 1 tokea msimu umeanza.

Na ushindi wa ligi ya Israel mara nyingi ni 1:0 au 2:0 au 2:1 mara chache chache

Pia kwny ligi yao
56% ya mechi zote zilizochezwa msimu huu, zimeshuhudia under 2.5 goals per match.

Na magoli mengi kwny ligi ya Israel yameonekana kuingia 2nd half.
 
Unatakiwa kwanza kabla hujabet ujaribu kupitia statistics za ligi husika.

MF: ligi ya Israel, timu nyingi zikiwa away ndo znafanya vizur (40%). kuliko zikiwa home (38%) na sare (22%)


Ligi kuu Italy, Timu znapokua home znafanya vizur kuliko znapokua away.

Ligi kuu Saudi Arabia hakuna hyo advantage ya kua home wala ugenini.
Kama hujui hujui tu na kichapo unachezea potote pale.

Cc: Rafael, Troublemaker, p. Didy
 
*THURSDAY VIBES*

66SKCRY

2 odd

Code 8509 Date 14/12/2017 21:00
Event Lazio - Cittadella
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over

Code 7975 Date 14/12/2017 20:45
Event Ajax Amsterdam - SBV Excelsior
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over

Code 1096 Date 14/12/2017 21:15
Event FC Porto - Vitoria Guimaraes
Live/Prematch Normale Selection 1 & Over

[HASHTAG]#Believe[/HASHTAG]
 
Sorry wadau,naomba kunijuza kuhusu over and under maana kila nikiweka mzigo muhindi anachukua mapemaaaaa
Over 0.5 - mechi iwe na jumla ya goal 1 na kuendelea.

Over 1.5. - mechi iwe na jumla ya goli 2 na kuendelea.

Over 2.5 - mechi iwe na jumla ya goli 3 na kuendelea

Over 3.5 - mechi iwe na jumla ya goli 4 na kuendelea.

Over 4.5 - mechi iwe na jumla ya goli 5 na kuendelea.

Note: Hiyo over/under hutumika sehem mbali mbali kama Goals, Corners, Yellow cards, Red card, shots on target, shots off target, crosses n. k
 
Dah nmecheka sana mkuu smtyms hili jukwaa ni zaidi ya mikeka ,, jamaa anaeza changanyikiwa ndani ya dk 1


Mkuu Virtual Games iliwahi kunishangaza sitajaribu tena huko ... labda kuna wengine wana bahati nayo. Ila mm siwezi kugusa tena huko ...

... si unaona km hapa, unaweza kuhisi ukiweka 2+ ni automatic unashinda, unashangaa 1-0 au 0-0 ... halafu uliweka 100K

 


Mwenye matokeo ya mechi ya hawa madogo wa under 20 naomba tafadhali

Na je,naweza nikaturbo kama mechi itakuwa imehairishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…