Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Basi nawaombeni popote mlipo nyie macelebrities wa hapa @ofisini @petu ,mara mpatapo ujumbe huu naombeni mje hapa ili mtupe huo mchango wenu wa odd 1.5-2.0,itapendeza kama mechi hazitazidi 2,thamani yenu ionesheni kwa kusupport movement hii ya maliza MUHINDI
List ni hii hapa chini ambao kwangu ndo the best
Buddy
DeepPond
koncho77
demigod
@mr.wise
troublemaker
nyegere86
Pdidy
NI TIMU YA MTU @8 mpaka hapo,ikiwa kila mmoja ataleta odds 2 basi tutapata total odd 256 na kama ikiwa odds 1.5 basi tutapata total odds 26.
we are waiting for you.
 
Mimi naanza namna hii:

Mechi ya Chelsea na soton itakua na corner over 9.5, Odd 1.58

Kwanini nasema hivo,
Katika EPL, msimu huu Timu zote mbili znatumia winga kupeleka mashambuliz kwa adui.

Pia wote wawili wanacheza sana counter attacks huku wakijaribu sana hata kwa kushoot kutokea nje ya 18.

Chelsea anawastani wa kuwin corner 6.0 kwa kila mechi, uku akiruhusu corner 4.76 kila mechi alizocheza msimu huu.

Jumla unaleta wastani wa corner 10.76 kwa kila mechi anayocheza Chelsea.

TUJE KWA SOTON,

Huyu anawastani wa kuwin corner 6.35 kila mechi, uku akiruhusu corner 4.47 kwa kila mechi alizocheza EPL msimu huu.

Jumla unaleta wastani wa corner 10.82 kwa kila mechi alyocheza Soton msimu huu.

SASA....
Ukitafuta Jumla ya wastani wa corner za Chelsea (10.76) na ukajumlisha wastani wa kona alizonazo Soton (10.82)

Then, tutapata wastani wa corner Jumla ya corner 21.58.

Mwisho,
Tutagawa hiyo Jumla kwa 2 maana leo wanaenda kukutana wao KWA wao (Head to Head)

Itakua: 21.58 ÷2 = 10.76

Kwahyo, Hapo Tutakua na uwezekano mkubwa wa kupata corner 10.76 kwny hyo mechi.

Hii kwny kubet unaweza kuweka over 10.5 corners ambayo ina odds 1.88

HITIMISHO
Nashauri ni vema zaidi kuweka Over 9.5 corners full time kwa tahadhali zaidi.

Hii ina Odds 1.58

Mwisho.
Natumai mmenielewa, Nakaribisha maoni, ushauri hata povu tu ukiona inafaa.
 
Ok!

Brighton & Hove Albion FC v Burnley FC [Away Pick X2] - Odd 1.52
 
Salute kwako DeepPond kwa kusupport hii movement,
kijiwe tayari kimeshaanza bado wengine.
by DeepPond
-Southampton vs chelsea corners over 9.5,odd 1.58
 
Utah walinitisha kwenye mechi na Houston walicheza vizuri sana japo walifungwa lakini kwa mchezo ule leo nisingethubutu kuwapa Boston
Buddy
 
Dah hapa nina elfu kumi alafu nadaiwa laki kesho jpili,hapa nilikua nataka leo nipate odds 3 au 4 alafu kesho nitafute tena odds tatu itimie.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
hv hao jamaa wanaouza tips hasa wa nigeria ni wa kwel au uongo cc pi didy
Sio kila tip unayokutana nayo kwny mtandao unabeba.

Hao wanaouza tips hasa kwny website zao utakutana na matangazo kibao ya kampuni za betting.

Tambua kampuni hzo hzo zinazobet ndio wadhamini wakubwa wa makampun hayo ya kuuza au kutoa free tips.

Maana matangazo yao mengi yanapitia huko.

Na wengine wameunganisha moja kwa moja tip wanazotoa na bet slips za kampuni mbalimbali zakubet.

Ukiangalia tip ukaielewa pale pale unabonyeza tu inakaa kwny mkeka wako directly.

KIUJUMLA
Betting is all about biznes, umle Muhindi au akule wewe apo.

Kwahyo ustegemee sana mwenye kuuza au kugawa tips asherekee kufirisika kwa mdhamini wake kwa sababu yako.

Kama unaweza kukumbuka vizur, kampuni ya FOREBET kule england imewahi pelekwa mahakamani x2 kwa kutoa tips na statistics za uongo kwa wateja wake ili wakose mikeka kwa sababu ya rushwa na udhamini mnono wa kampuni ya Bet365.

Sijui hyo kesi iliishaje ila hyo ndo taarifa mkuu.

AKILI KUMKICHWA, ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.

Namaanisha sio dhambi kuchukua tip, ila ni vizur zaid ukiitafakari kwa makini hyo tip kabla ya kutia mtaji wako.

FROM MY HEART:
Sinaga imani kabisa na Nigerian maana nmekaa nao sana S. A na UK. Ni matapeli wa kutupa.
 
Hahaha ... umenichekesha mkuu "maCelebrities" ... sawa, tip yangu hii hapa.

- For the past 8 games, Leicester City wamekuwa na corners zaidi ya 9.5 katika game 7 (ni game moja tu ya vs Man City wamekuwa na corner 8). So definitely nitampa "Over 9.5 corners" (odds 1.48). Pia nisingeona aibu kumpa "Home win either half" (odds 1.43) ... japo naamini atashinda hii game (odds 1.87).

PS: Mkuu naunga mkono hili wazo zuri sn km wadau tutaonyesha ushirikiano. Nakumbuka Mr. Wise aliwahi kuleta wazo km hili before, lkn wengi walichoose kila mtu kufa kivyake vyake (ushirikiano haukuwa mzr). Over
 
hv hao jamaa wanaouza tips hasa wa nigeria ni wa kwel au uongo cc pi didy
Sio kila tip unayokutana nayo kwny mtandao unabeba.

Hao wanaouza tips hasa kwny website zao utakutana na matangazo kibao ya kampuni za betting.

Tambua kampuni hzo hzo zinazobet ndio wadhamini wakubwa wa makampun hayo ya kuuza au kutoa free tips.

Maana matangazo yao mengi yanapitia huko.

Na wengine wameunganisha moja kwa moja tip wanazotoa na bet slips za kampuni mbalimbali zakubet.

Ukiangalia tip ukaielewa pale pale unabonyeza tu inakaa kwny mkeka wako directly.

KIUJUMLA
Betting is all about biznes, umle Muhindi au akule wewe apo.

Kwahyo ustegemee sana mwenye kuuza au kugawa tips asherekee kufirisika kwa mdhamini wake kwa sababu yako.

Kama unaweza kukumbuka vizur, kampuni ya FOREBET kule england imewahi pelekwa mahakamani x2 kwa kutoa tips na statistics za uongo kwa wateja wake ili wakose mikeka kwa sababu ya rushwa na udhamini mnono wa kampuni ya Bet365.

Sijui hyo kesi iliishaje ila hyo ndo taarifa mkuu.

AKILI KUMKICHWA, ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.

Namaanisha sio dhambi kuchukua tip, ila ni vizur zaid ukiitafakari kwa makini hyo tip kabla ya kutia mtaji wako.

FROM MY HEART:
Sinaga imani kabisa na Nigerian maana nmekaa nao sana S. A na UK. Ni matapeli wa kutupa.
 
LG Sakers vs Seoul
Thunders

KONG ANASEMA

the away side is a good team and
have been struggling e lot to get
into the squad with both setting in
the same position in the ligue. i do
expect to see the home side win
here with at least five goals due to the fact that both have become
very defensive recently and the
home side is good at that whereas
the away side are coming here in
order to sick for revenge but i don't
think it will be easy for them due to the fact that the home side are very
strong and become more harder to
win them on this ground and i don't
think the away side can do any
thing about that but what i do think
the away side will do is to play defensively and there should be
less goals here. good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…