hahahaha within five minutes mzigo tayari ila wakati mwingine mtandao unazingua, kuna siku nimechelewa daladala nimeenda kwa wakala kutoa mzigo kila nikijaribu naambiwa salio halitoshi nikakaa kama 20 minutesNdio marayangu ya kwanza kuwithdraw princess,inachukua mda gani kufika kwenye simu yangu ili nimjibu shemeji yenu ni kama naenda au siendi kwenye happybirthday ya mdogo wake.
Kuanzia bukumbna sielewi kiwango cha kuanzia kwenye princess bet ni shnngap
Na hata kama hana hasira awe piah mvumilivu maana hata wakat mwingine mood ya kumuona hamna. Tunamuwaza manjiKama unabet omba sana Mungu akupe mke asiyekuudhi, Maana unaweza kuua kwa hasira za kupigwa na kanji ukuchanganya na za mwanamke.
Kazi iendelee wadau.
Hataree sana hiyo mkuuKama unabet omba sana Mungu akupe mke asiyekuudhi, Maana unaweza kuua kwa hasira za kupigwa na kanji ukuchanganya na za mwanamke.
Kazi iendelee wadau.
Sister city huyuhuyu au ni mwingine aisee
Kama unabet omba sana Mungu akupe mke asiyekuudhi, Maana unaweza kuua kwa hasira za kupigwa na kanji ukuchanganya na za mwanamke.
Kazi iendelee wadau.
Nna shida sn na Pesa kama laki 2 hv usiku wa Leo.
Kuna mtu anatakiwa aje nyumban kuchukua ela ya kulimia mashamba usiku wa leo
Msimu WA kilimo umeanza
ODDS: 2.6
Stake: 100,000
Marejesho: 260,000
View attachment 652400
Pole mkuu wamepiga leicster tu kona 3Dah, Leicester city leo kagoma kutoa Over 4.5
View attachment 652437
Hapo kwa umenikosha