Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
bet timu chache halafu acha panic. ukipanic utashindwa kuwa makin[emoji23] [emoji23] Siku nikibet kona zinatoka 6, nikibet over 1.5 wanatoa 0-0, nikibet Gg wanatoa 3-0, nikibet Half time over 0.5 wanatoka 0-0.
Nikibet under 1.5 wanatoa 5-3, nikiwapa under 4 wanatoa 3-3, nikisema basi nibet Kadi No red Card mara Dakika ya 89 Balotel anapewa kadi.
Aiseee What went wrong (Teacher Mpamile)
Mkuu nimejaribu kubet hata timu mbili ni kipigo kitakatifu tu au kipesa chao fulani nilichokula ndicho kinawafanya wawe na hasira na mimi, mkuu hii kazi ngumu yaani kuna muda najaa hasira sana kama leo mikeka 3 yote chali hata giza halijaingia aisee ngoja nilie kimya kimya kaka.bet timu chache halafu acha panic. ukipanic utashindwa kuwa makin
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] teacher whatttt???[emoji23] [emoji23] Siku nikibet kona zinatoka 6, nikibet over 1.5 wanatoa 0-0, nikibet Gg wanatoa 3-0, nikibet Half time over 0.5 wanatoka 0-0.
Nikibet under 1.5 wanatoa 5-3, nikiwapa under 4 wanatoa 3-3, nikisema basi nibet Kadi No red Card mara Dakika ya 89 Balotel anapewa kadi.
Aiseee What went wrong (Teacher Mpamile)
Teacher mpami whattttt?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] teacher whatttt???
Ila Leicester kaharibuAsante sana mkuu hata kabla ya half time naona inter kamaliza mchezo wa corner
Ubarikiwe
Teacher mpami whattttt?
Nataka nifanye kitu kulingana na imani yangu nitaleta mrejesho hapa sipendi kusumbuliwa mimi, Ujue haya mambo pia yanakuwa na imani fulani.Kesi yako na yangu zinafanana Mkuu..... hata nibet tatu naingia chaka .... tukaoge maji ya chumvi [emoji24]
Pole sana mkuuMkuu nimejaribu kubet hata timu mbili ni kipigo kitakatifu tu au kipesa chao fulani nilichokula ndicho kinawafanya wawe na hasira na mimi, mkuu hii kazi ngumu yaani kuna muda najaa hasira sana kama leo mikeka 3 yote chali hata giza halijaingia aisee ngoja nilie kimya kimya kaka.
Nyota zetu naona zinafanana....kila baada ya siku 3 nadeposit chakushangaza sijawahi withdraw hata utaratibu sijui upoje *****Kesi yako na yangu zinafanana Mkuu..... hata nibet tatu naingia chaka .... tukaoge maji ya chumvi [emoji24]
inaonekana unapanic sana. kuna kitu kimoja inatakiwa huu mchezo mda fulani usiwe sirias kupita kiasi. sijui umenisoma hapo?Mkuu nimejaribu kubet hata timu mbili ni kipigo kitakatifu tu au kipesa chao fulani nilichokula ndicho kinawafanya wawe na hasira na mimi, mkuu hii kazi ngumu yaani kuna muda najaa hasira sana kama leo mikeka 3 yote chali hata giza halijaingia aisee ngoja nilie kimya kimya kaka.
Shukrani Kaka mkubwa ngoja niendelee kuungua sina namna.Pole sana mkuu
Kampuni gani zina option ya Kona...!???? Maana naona magolii uchawii tuu
princess wako vizur mkuuKampuni gani zina option ya Kona...!???? Maana naona magolii uchawii tuu
duh pole sana.Nyota zetu naona zinafanana....kila baada ya siku 3 nadeposit chakushangaza sijawahi withdraw hata utaratibu sijui upoje *****
Asante sana mkuu hata kabla ya half time naona inter kamaliza mchezo wa corner
Ubarikiwe