Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

5274965c49ba56a7846d1568e510517a.jpg

Hisia zangu ni kwamba kuna kitu kinaitwa fixed match hapa kimefanyika katika ubora wake...Pesa inaharibu mpira daaah ...hisia zangu tu lakinii (Povuuu ---- yaaani Inter qum*m*eee)
Italia ni jambo LA kawaida sana.

Mwaka jana walkoswa koswa koswa kufungiwa na UEFA kushrikk michuano ya mwaka huu.

Mwaka juz FIFA waliwapa onyo Kali.

Miaka ya nyuma juve ilwah kushushwa daraja kwa sababu hyo hyo ya match fixing
 
Bora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.

Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.

Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.

Masikini dah.
hahahaah mkuu subiri mwakni sasa kwa hali hii!!!!!
 
Mkuu Shukrani nataka nisake 15000 nikipata nitakukabidhi unipe timu utakazoona zinafaa.
hilo unalotaka kulifanya pia ni kosa anza na buku tano tu inatosha unatafta odd 3+ unatia buku usiogope kula buku 3 au 4.

unakuza mtaji mdogo mdogo huku ukizid kupata uzoefu
 
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
 
hilo unalotaka kulifanya pia ni kosa anza na buku tano tu inatosha unatafta odd 3+ unatia buku usiogope kula buku 3 au 4.

unakuza mtaji mdogo mdogo huku ukizid kupata uzoefu
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] Ngoja wanipe Bonus mkuu nitaanza na Bonus, maana huwa wananipa sana.
 
Back
Top Bottom