Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Leo timu Zote Epl zinatoa kona zaidi ya 8 ila jaribu kwenye mechi zijazo uone.
KatoA aisee***** chelsea atatoa kona 9 kweli
Nilikua na mashaka nae sana asee....nawasubiri city sasa na kona 9 mungu atusimamieKatoA aisee
Nami nawasubiri hao tuNilikua na mashaka nae sana asee....nawasubiri city sasa na kona 9 mungu atusimamie
haahahahah yan leo mnanichekesha sana wadau[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ....umenikumbusha mbali..sana kuna kipindi hii mambo ilinitokea nilikuwa nawakwepa wakala utadhani wananidai....ikabidi niwe nabadili chimbo daily...
Kuna siku mdada mmoja wakala akaniambia kaka kwenye account si utakuwa na hela nyingi sana maana kila siku unaweka pesa....nilivyosikia hivyo sikurudi tena kwake kuweka pesa
bado hujafanikiw?WAKUU NAOMBENI MSAADA HARAKA,NILIBETI MATCH 14 10 ZIMETIKI 4 ZIMEBAK MOJ INATAKA KUHARIBU,NATAKA NI CASH OUT,NATUMIA CM - MKEKA BET NAFANYAJE?.
Mkuu watu wa humu sijui wakoje.haahahahah yan leo mnanichekesha sana wadau
Tema mate chief.....tips zinatoka nyingi na zinazofeli ni nyingi pia,huwezi jua sisi tunaangukia kwa zile zinazofeli kwasababu hatuwezi weka mikeka yote kaka...mfano tip yako ya jana ya timu ya bunde 3....Mkuu watu wa humu sijui wakoje.
Sometimes unaweza kusema wanapenda tu kuliwa maksudi
Mikeka na tips kibao zinatrend humu ndani
afu mtua anadai analiwa kila siku ma kila siku yuko humu jukwaani.
Mkuu watu wa humu sijui wakoje.
Sometimes unaweza kusema wanapenda tu kuliwa maksudi
Mikeka na tips kibao zinatrend humu ndani
afu mtua anadai analiwa kila siku ma kila siku yuko humu jukwaani.
Hongera sana mkuuBET WON
Kwa mwendo huo ni ngumu sana kuyafikia mafanikio.Tamaa mkuu ya kupiga hela ndefu kwani watu tunaona odd 2 kama kidogo, hivyo watu wanaongezea timu
wanazozipenda hapo ndipo usemi wa tamaa mbele.......................
Sometimes miluzi mingi inapoteza mbwa pia kakaKwa mwendo huo ni ngumu sana kuyafikia mafanikio.
Tamaa sio kitu kizur kabisa wkt wa kubet.