lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 455

Mashoga ni kama mnavowaona hapo..mashoga haswa!!
Hahaha pole sana mkuu hao Inter wamechafua Hali ya hewa leo

Mashoga ni kama mnavowaona hapo..mashoga haswa!!
Ahsante mkuu mpaka muda huu ninaongoza kwa mikeka 3-0 khanjiHongera sana mkuu
Uliweka mikeka ya kiasi gani mkuu?na uliweka kwa timu zipi?Ahsante mkuu mpaka muda huu ninaongoza kwa mikeka 3-0 khanji
bado mkeka mmoja
Kona zipo chief usihofuBET WON

NSHAPATA LAKI 2.1 YA FASTA FASTA
Kwa ajili Ya kiwalo cha Xmass kwa wife.

Halftime: Cardiff 0:0

Hongereni sana mlionifata kwny huu mkeka.

Mmmmhhh una kismart aiseee,kesho nitakua follow Wa kwnz,
Wengine tumeweka full time 1x
Ila mancity corner >8.5 mmmhh??? Ngoja nione
Asubuhi kwenye akaunti nilikuwa na 88k sasa hivi akaunti inasoma zaidi 390k na nikishinda mikeka yangu miwili ijayo nitakuwa na zaidi 600kUliweka mikeka ya kiasi gani mkuu?na uliweka kwa timu zipi?
Mkuu naomba Maelezo kidogo kwa timu za kuchezea Kona[emoji134]Nlishatoa maelezo mengi sn khs timu za kuchagua wkt wa kubetia kona.
Rejea comments za nyuma, Kuna maelezo ya kutosha mkuu.
acha tu Mkuu...Sometimes pita tu mkuu...hawa hawajawai kutwa na kitu inaitwa nuksi...
Duuh! Hongera sana Mzee...Unachezaga Options zipi?Asubuhi kwenye akaunti nilikuwa na 88k sasa hivi akaunti inasoma zaidi 390k na nikishinda mikeka yangu miwili ijayo nitakuwa na zaidi 600k
Hongera sana unakismat cha uhakika.Asubuhi kwenye akaunti nilikuwa na 88k sasa hivi akaunti inasoma zaidi 390k na nikishinda mikeka yangu miwili ijayo nitakuwa na zaidi 600k
Hongera sana mkuu.Ahsante mkuu mpaka muda huu ninaongoza kwa mikeka 3-0 khanji
bado mkeka mmoja
Nilikua Napambana na dortmund kumbe Valencia keshazinguavalencia ***** sana