mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 770
- 451
Naomba kusaidiwa kuweka mkeka mmoja kwenye mchanganyo wa first half results na second half kwa time tofauti mfano unaipa Man u ishinde first half alafu unaipa Liverpool ishinde second half kupitia Mbet, kama unaweza kuchangaya nisaidiwe jaman