DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Wachache sn wanang'amua hilo jambo.hivi mtu unashindwaje kuanza na buku 10000 uukuze mtaji mdogo mdogo. kuliko kupoteza kila siku jero jero zako
yani mtu siriasi kabisa unatafta odd 3+. unatia buku mbili umekosa nini buku sita. ikitiki mitatu kati ya mitano una 18000, 18k mara 5. si tiari mtaji wako umekua
Wataendelea kumtajirisha sn tu Muhindi.
Sisi wengine hii betting kwetu sio burudani wala game tena.
ITS A SERIOUS BUSSINESS
WE ARE REALLY SERIOUS ON MAKING MONEY.