JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Kabisa mkuu kwangu mimi kokoro haliepukiki....ninakuwa nayo ya odd mbili mpaka kumi mwisho....hapa stake 10,000 na kuendelea..basi wewe ndo kama mimi nakua na mikeka ya kuiamini na mikeka ya bahati tu yani ili mradi.
na kokoro la odd kuanzia 500 mpaka 27000 hapa naweka 500 mpaka 1000