Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Legia Warsaw ndo wakukosa draw nyumbani?? Daah asante mkuuu
Usjali ila usikate tamaa.

Huyo L. Warsal
Kuna mtu jana aliulza khs huyo nkmwambia aachane nae maana hayuko form recently.

ukzngatia game za pesa zko nying zaid ya kumng'ania uyo L. Warsal

JAMAA MWNY SIMKUMBUK VZUR NI NANI.

Ila Km ni wewe kweli basi sio jambo jema kupuuza kila ushaur.

Dah yaani hii mara ya tatu naamka mwenyewe bila alarm saa 9 or kumi kufatilia au kubet NBA na hapo nimelala saa 7 au 6.naona ndio ishakua kazi rasmi sasa.
Ha ha ha....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Dah yaani hii mara ya tatu naamka mwenyewe bila alarm saa 9 or kumi kufatilia au kubet NBA na hapo nimelala saa 7 au 6.naona ndio ishakua kazi rasmi sasa.
NBA na mimi inaniamsha mapema sana labda kama nimelala nimeweka vitu vikali hapo ninalala hadi asubuhi

Wakuu baada ya jana kamtaji kangu kuisha leo asubuhi tumechanga pesa ya luku hapa 30k ila kabla cjanunua umeme naombeni odds walau 3 za uhakika nitafute mtaji.

Dah nahis uwoga wa kuchagua coz nahis ntaliwa tu

cc DeepPond et al

upload_2017-12-15_10-47-54.png
kumekuchaaa, total odd 3.44

mechi za asubuhi hii.

Wakuu baada ya jana kamtaji kangu kuisha leo asubuhi tumechanga pesa ya luku hapa 30k ila kabla cjanunua umeme naombeni odds walau 3 za uhakika nitafute mtaji.

Dah nahis uwoga wa kuchagua coz nahis ntaliwa tu

cc DeepPond et al
hakuna kitu kinachoitwa odd za uhakika 100% but kuna walau zinazo aminika kwa 90%

Duh, hali tete......

Dakk ya 80
2nd half bado 0:0

Waitekere

Kk tusetie mkeka Wa maana Leo mapemaaa kanji kachukua pesa ya kodi jn nataka angalau Leo nimpe dole LA kati shwaini huyu

Back
Top Bottom