Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2017-12-15_13-10-58.png
odd 10+

usalama 78%
 
Ha ha ha.....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umenchekesha sn mkuu

Safi sana kw kutoa precaution
teh teh teh mana mwingine anaweza ukopy akaliwa akarudi na mapovu. anasahau kwamba na wewe binadamu
 
waku naombeni msaada wa hizi betting maana sijawahi kushinda yani niseme sasa napumua na mshiko najihisi kama nina mkosi . please naombeni hata mnipe hints tu vitu vya msingi vya kuviangali katika kutia mikeka inafikia hatua najichukia kupitiliza hasa ninapokosa, ahh imekuwa too much bwana *****
Adui mkubwa wa betting ni tamaa. Yawezekana unataka upige 1m kwa buku, Hyo huwa inatokea kwa nadra sana.

Cha msingi cheza option rahisi kama over 1.5 au kona over 8.5 kwa ligi ya Uingereza, Spain, Italia na Ujerumani.

Kwa mfano, PALACE ni uhakika sana kila match kutoa over 8.5 maana ZAHA na TOWNSEND wanapenda sana kukimbia na mpira kwenye mashavu ya uwanja halafu wanapiga cross ambazo mabeki waki-block zinakuwa kona.

Kimsingi ukikuta timu zina uwezo wa kufanana mara nyingi kona zinatoka nyingi sana maana haziogopi kushambuliani. Mathalani match ya leo kati ya GIRONA na GETAFE tegemea kona nyingi sana.

Kumbuka match zinapokuwa nyingi sana unajiandalia mazingira ya ku-lose mkeka wako. Mimi siku hizi naweka timu 1-4 na sikozi hela za kununua umeme, maji, DSTV BOMBA n.k
 
[quote uid=294185 name="troublemaker" post=24888946]hofu kubwa ni kwa game ya sampdoria na man united. wanaweza maliza 0-0[/QUOTE]<br />Possible

Possible mkeka MBNA huweki jomba time inakata kk tunaogopa kuweka Leo nachukua humuhumu
 
Adui mkubwa wa betting ni tamaa. Yawezekana unataka upige 1m kwa buku, Hyo huwa inatokea kwa nadra sana.

Cha msingi cheza option rahisi kama over 1.5 au kona over 8.5 kwa ligi ya Uingereza, Spain, Italia na Ujerumani.

Kwa mfano, PALACE ni uhakika sana kila match kutoa over 8.5 maana ZAHA na TOWNSEND wanapenda sana kukimbia na mpira kwenye mashavu ya uwanja halafu wanapiga cross ambazo mabeki waki-block zinakuwa kona.

Kimsingi ukikuta timu zina uwezo wa kufanana mara nyingi kona zinatoka nyingi sana maana haziogopi kushambuliani. Mathalani match ya leo kati ya GIRONA na GETAFE tegemea kona nyingi sana.

Kumbuka match zinapokuwa nyingi sana unajiandalia mazingira ya ku-lose mkeka wako. Mimi siku hizi naweka timu 1-4 na sikozi hela za kununua umeme, maji, DSTV BOMBA n.k
mkuu thanx kwa maelezo yako ila tatizo hata gizo tatu au mbili au nne ni nadra mno kushinda mfano kuna siku nimeweka mikeka miwili siku tofauti tofauti cha ajabu unakuta mkeka mechi moja inaniharibia na ukiangalia anaweza akawa home na ameshamshinda mara nyingi lakini siku anapigwa hapo ndipo ninapohisi au nuksi nini.
 
Back
Top Bottom