JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Nakupa hii ..Za asubuhi wapiganaji...jana kama kuna nimemuongelea vibaya anisamehe aisee maana nilikua nimwshaweka vitu vyangu kichwani plus vipigo mfululizo kutoka kwa kanji, tupo pamoja wakuu endeeleni kushusha mizigo tuendeleze vita ya kiuchumi nina ka 50k ka nguo za mtoto wenu za sikukuu nataka nipatemo na nguo ya wife msaada please odds kadhaa
A-Junioren-Bundesliga South/Southwest
Bayern Munich vs FC Augsburg
Tip: over 2.5 goal
Odd: 1.45 premierbet