BABA-D
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 1,242
- 1,032
App ya PRINCESS bado haijakuwa active iko kwenye marekebisho. Fanya kutumia websiteWanayo ila kwangu mimi naona bora utumie Website.
App ya PRINCESS bado haijakuwa active iko kwenye marekebisho. Fanya kutumia websiteWanayo ila kwangu mimi naona bora utumie Website.
Naona hata chrome inanizngua au version ipo outdated labda?
Pamoja mkuu![]()
Chief pakua hyo app pia hufungua vzr sana
apo voda wana kata chao ndo maana imegoma iyo 2000 at least ungekua na 2200 ingeenda iyo 2000 nazanmbna sielewi kiwango cha kuanzia kwenye princess bet ni shnngap![]()
huo Muonekano ni wa System wanayo tumia wao wachezeshaji ndo inakua na muonekano huo!!Wakuu mm nikishabet princess mbn haionekani hivi ??? [emoji116][emoji116]![]()
LoseView attachment 652832View attachment 652833View attachment 652834View attachment 652835View attachment 652836View attachment 652837wadau Jana nimweka pesa katika wallet yangu kisha nikabet lakin mpaka sasa naandikiwa winner payment pending na pesa yote katika wallet wameshakata
Sahihi mkuu JoaquemKabisa mkuu kwangu mimi kokoro haliepukiki....ninakuwa nayo ya odd mbili mpaka kumi mwisho....hapa stake 10,000 na kuendelea..
na kokoro la odd kuanzia 500 mpaka 27000 hapa naweka 500 mpaka 1000
Mkuu nilitembea na huo wa kwanza nikamuongeza na Kasimpasa. Mapema sana nikatoboa mkeka.
Nishakula hela mikeka yote jumla ni 242000Lose
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uki bet tena uuweke apa ni copyNishakula hela mikeka yote jumla ni 242000