koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Pole sana mkuu mimi wamenipa pesa, asubuhi yangu imekuwa mubasharaDuh, hali tete......
Dakk ya 80
2nd half bado 0:0
Waitekere
Pole sana mkuu mimi wamenipa pesa, asubuhi yangu imekuwa mubasharaDuh, hali tete......
Dakk ya 80
2nd half bado 0:0
Waitekere
Mkuu nielekeze namna ya kuweka pesa Princess bet accountprincess bet
namba ya malipo 262222Mkuu nielekeze namna ya kuweka pesa Princess bet account
We mtu ni Nyoko kuliko Nyoko yenyewe.View attachment 652832View attachment 652833View attachment 652834View attachment 652835View attachment 652836View attachment 652837wadau Jana nimweka pesa katika wallet yangu kisha nikabet lakin mpaka sasa naandikiwa winner payment pending na pesa yote katika wallet wameshakata
Hiv wana app?namba ya malipo 262222
kumb kumb namba, namba yako ya simu uliyosajili princess bet.
Wanayo ila kwangu mimi naona bora utumie Website.Hiv wana app?
Dah me natumia website ila naona inazingua sana au sababu natumia cm labda?Wanayo ila kwangu mimi naona bora utumie Website.
Unatumia Browser gani kwenye Simu?Dah me natumia website ila naona inazingua sana au sababu natumia cm labda?
CromeUnatumia Browser gani kwenye Simu?
App ina crash mara kw mara afu ni nzito kuload pageWanayo ila kwangu mimi naona bora utumie Website.
Naona hata chrome inanizngua au version ipo outdated labda?App ina crash mara kw mara afu ni nzito kuload page
Tumia opera mini latest,Naona hata chrome inanizngua au version ipo outdated labda?
ThanksTumia opera mini latest,
kama unayo ya zamani basi ifanyie update
OPERA WAKO SAFI SANA
Update.......UPDATE.....
wakuu supu yetu kwa alfajir ya leo naona inazidi kunona na kuiva vizuri.
Hao kina Auckland na Canterbury naona nishamalizana nao biashara.
Wamebak hao wanawake wa Brisbane na kina Waitakere peke yao.
Odds 1.64
Stake: 50,000 Tsh
Marejesho : 82,000 Tsh
EEH MUNGU SAIDIA, NMECHOKA KUNYWA KAHAWA MIMI.
View attachment 652804
Weshaniwekea teyar hpaWe mtu ni Nyoko kuliko Nyoko yenyewe.
HONGERA ila watakulipa usijali, Huwenda kanji ndo anaamka ale pilipili kwanza kisha atoe pesa.