Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera sana mkuu.

Mm huku clean sheet imenishinda leo.

Mpk sasa nmempiga mikeka 4 kati ya 5 nliyobet siku ya leo.

Uwo mmoja Kauchana Leicester city peke ake

Maana nlimpa over 4.5 corners first half, kashindwa kuzfkia.

LEO PESA ILKUA NJE NJE SANA MKUU.
Hongera chief
 
Sema nje nje kwako....wenginee halii mbayaa
 
upload_2017-12-15_1-41-50.png
odd 12+ bet wooon
 
Mkuu naomba Maelezo kidogo kwa timu za kuchezea Kona[emoji134]

Hilo somo lilinipita, Sijajua nitalipata page gani!

Help me hata kwa ufupi ufupi tu.
Hilo somo haliko mbali sn ukilitafta humu unalipata

Maana jana tu nmetoka kulirudia kulielezea kwa mara ya 3 na kwa ufanisi, mifano na evidence zaidi.
 
mpwa vipi huko bana ule mkeka wa kona leycester alizingua lkn bigup naona wengine zimekubali. kesho usisahau kutupia tena
 
Duuh! Hongera sana Mzee...Unachezaga Options zipi?
Hongera sana unakismat cha uhakika.
Hongera sana mkuu.

Mm huku clean sheet imenishinda leo.

Mpk sasa nmempiga mikeka 4 kati ya 5 nliyobet siku ya leo.

Uwo mmoja Kauchana Leicester city peke ake

Maana nlimpa over 4.5 corners first half, kashindwa kuzfkia.

LEO PESA ILKUA NJE NJE SANA MKUU.
Ahsante sana wakuu leo weekend imekuwa mapenzi mubashara kwetu kuliko khanji
 
Sema nje nje kwako....wenginee halii mbayaa
Ukiwa mjanja wa kuchagua timu kadhaa za kutoa pesa.

Utafuirahia sana betting.

Ila ukiwa mtu wa kubet KWA matukio, tamaa na woga.

Basi pesa ya Muhindi itakupita kushoto mara kwa mara.

KUBET KWA MATUKIO
Hapa namaanisha wale WENYE tabia ya kuskia kwa mfano EPL kuna man city na Arsenal wanacheza

Hapo ndo anaenda mtu anaenda kubet KWA ushabk akiamin lazima timu yake ishinde.

Au kwa sababu haipend arsenal ndo anaamua kuiua kwny mkeka.

TAMAA
Hapa namaanisha wale mabingwa wa kutaka mafanikio ya haraka haraka.

MF: mtu anatia 500 Tsh afu anatandaza maturubai kibao yenye mlolongo wa mechi 12-15.

Maturubai yote ukiangalia utakutana option ngumu ngumu tu km 1/2 au 2/X.

Ukicheck mechi zote unakutana na Odds za 2+ per each match.

Ukicheck jumla ya odds unakuta ni 200+

Afu mtu anakaa kabisa anayasubir mamilioni.

MWISHO WA SIKU
HAPO MTU ATALIWA SN NA MWISHO ATAKATA TAMAA NA KUUACHA HUU MCHEZO.

UOGA
Hapa naongelea wale waoga wa kuweka stake.

Utakua mtu stake zake ni 1,000- 10,000 mwisho.

Huyu mtu ata akiwa anakula hawezi kuipata ile ladha halisi ya ela ya mkeka.

MF: mtu atakutana na tip inaodd 2.5 ataipiga chini

Kwa maana atajua kua akiweka 1000 na akala 2500. Faida 1500

Basi ana conclude kua faida ya kurisk 1000 kwa faida ya 1500 basi haina hata maana.

Ila Anasahau kua angetia Laki 1 angetoka na Laki 2.5, Faida laki 1.5

Ambayo ina maana SANA hasa ktk matumiz ya hapa na pale.

NI HAYO TU MKUU
 
Hilo somo haliko mbali sn ukilitafta humu unalipata

Maana jana tu nmetoka kulirudia kulielezea kwa mara ya 3 na kwa ufanisi, mifano na evidence zaidi.
Mkubwa leo nilipitia tips zako lakini nikakiuka kwenye man city nikampa over 8.5, nimeona na jinsi wadau wanavyokutupia lawama lakini usivunjike moyo mchango wako ni muhimu na kitu ambacho wadau hawaelewi huu ni mchezo tu hauhitaji kuwa serious sana ukila heri ukiliwa chukulia normal au pigs moyo kondo angalia mbele. Mkuu mchango wako ni muhimu sana tabia za waswahili zizoee lawama ndo sifa yao kuu
 
Ukiwa mjanja wa kuchagua timu kadhaa za kutoa pesa.

Utafuirahia sana betting.

Ila ukiwa mtu wa kubet KWA matukio, tamaa na woga.

Basi pesa ya Muhindi itakupita kushoto mara kwa mara.

KUBET KWA MATUKIO
Hapa namaanisha wale WENYE tabia ya kuskia kwa mfano EPL kuna man city na Arsenal wanacheza

Hapo ndo anaenda mtu anaenda kubet KWA ushabk akiamin lazima timu yake ishinde.

Au kwa sababu haipend arsenal ndo anaamua kuiua kwny mkeka.

TAMAA
Hapa namaanisha wale mabingwa wa kutaka mafanikio ya haraka haraka.

MF: mtu anatia 500 Tsh afu anatandaza maturubai kibao yenye mlolongo wa mechi 12-15.

Maturubai yote ukiangalia utakutana option ngumu ngumu tu km 1/2 au 2/X.

Ukicheck mechi zote unakutana na Odds za 2+ per each match.

Ukicheck jumla ya odds unakuta ni 200+

Afu mtu anakaa kabisa anayasubir mamilioni.

MWISHO WA SIKU
HAPO MTU ATALIWA SN NA MWISHO ATAKATA TAMAA NA KUUACHA HUU MCHEZO.

UOGA
Hapa naongelea wale waoga wa kuweka stake.

Utakua mtu stake zake ni 1,000- 10,000 mwisho.

Huyu mtu ata akiwa anakula hawezi kuipata ile ladha halisi ya ela ya mkeka.

MF: mtu atakutana na tip inaodd 2.5 ataipiga chini

Kwa maana atajua kua akiweka 1000 na akala 2500. Faida 1500

Basi ana conclude kua faida ya kurisk 1000 kwa faida ya 1500 basi haina hata maana.

Ila Anasahau kua angetia Laki 1 angetoka na Laki 2.5, Faida laki 1.5

Ambayo ina maana SANA hasa ktk matumiz ya hapa na pale.

NI HAYO TU MKUU
umeeleza vyema mkuu....kwa pamoja tutafanikiwa
 
Inter ni sawa na Jambazi aliyeenda vamia bank na kisha kuiba rubber band alafu akaaacha PESA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji119]
 
Back
Top Bottom