Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tema mate chief.....tips zinatoka nyingi na zinazofeli ni nyingi pia,huwezi jua sisi tunaangukia kwa zile zinazofeli kwasababu hatuwezi weka mikeka yote kaka...mfano tip yako ya jana ya timu ya bunde 3....
Sikubaliani na ww

Maana kuna watu waliomba niwe napost kila mkeka nnaobet.

Jana nmepost mkeka 6.

Miwili tu ndo alokuepo pardeborn.

Mmoja ulichanika dakika Za. Majeruh kwa timu 1 tu.

Mitatu nilikula pesa ndefu tu.

SASA NASHANGAA HAO HAO WALIOKUA WAKIOMBA NIPOST HYO HYO MIKEKA WANADAI HAWAJALA HELA.

Inasikitisha sana na inashangaza Pia.

Mkeka ule ule nile mm nile hela afu wao wakose.

Sometimes mpk nafkiria kua Labda humu jukwaani

Kuna watu kwa maksudi kabisa wanalalamika ili kuwakatisha tamaa wenzao ilhali wameshakula pesa.

INANIUMA SANA MKUU.
 
Mkeka ule ule nile mm afu wao wakose.

Kaka mdogo ukizoza hivi husomeki kabisa....inamaana mwana wewe ni mzee wa matunguli kiasi mikeka yako ni sheria au??naona kama sijakusoma vile...hebu fafanua tafadhali.
 
Sio hivyo kaka....jana niliweka mikeka miwili yote ikachanika ...nadhani nina bahati mbaya pia na tips za humu....kuna wale al dhafra sijui walichana pia
 
Sometimes miluzi mingi inapoteza mbwa pia kaka
Hilo nalo neno.

Sema watu Wengi wakipewa tips hawafanyi utafiti wala kuomba ufafanuz kwa tips wanazokuta humu.

Wakuu inabd wabadilike, waache uvivu.

Inabd wajipe muda na energy ya kuifanyia analysis tip kabla hawajatia pesa.

Wakishindwa hata wawe wanaomba advice.

Watu kibao humu ndani wako kibao sn wanaojitolea sana kwa useful advices

SIO KILA TIP HUMU NDANI NI YA PESA.

NYINGINE KAMA ZILE ZA WA NIGERIA, NYINGI NI ZA KITAPELI TAPELI TU.

Ukikangalia na Ukiitafakari tu fasta fasta unaona kabisa haya ni mauza uza tu makusudi ili watu wakose hela.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nacheka siyo kama mazuri,dah hii kaz ngum sana, usione wengine hatuongei tunaumia moyon kimya kimya tu mkuu, ila ipo siku tu

montpellier vs Metz (montpellier to win)
Legia vs Wisla (Legia to win)
braga vs belenenses (braga to win)
PSV vs ADO Den Haag (PSV to win)

Weka pesa ya kutosha hapo uhakika
 
Sema watu Wengi wakipewa tips hawafanyi utafiti wala kuomba ufafanuz kwa tips wanazokuta humu. wako kibao sn wanaojitolea sana kwa useful advice

Nimeku PM chungulia kuna kitu nimekuuliza
 
Sio hivyo kaka....jana niliweka mikeka miwili yote ikachanika ...nadhani nina bahati mbaya pia na tips za humu....kuna wale al dhafra sijui walichana pia
Jana sijamuweka al dhafra kwny mkeka wangu wowote.

Nashangaa kwann unanilalamikia al dhafra alkuchania mkeka

INANIUMA SN KWNN UMEAMUA KUNISINGIZIA KWA HILI MKUU.
 
Sikulaumu kaka maana hujalazimisha mtu kufuata...ila naelezea tu namna kanji anavyonishughulikia...usijali kaka
 
Sikubaliani na ww

Maana kuna watu waliomba niwe napost kila mkeka nnaobet.

Jana nmepost mkeka 6.

Miwili tu ndo alokuepo pardeborn.

Mmoja ulichanika dakika Za. Majeruh kwa timu 1 tu.

Mitatu nilikula pesa ndefu tu.

SASA NASHANGAA HAO HAO WALIOKUA WAKIOMBA NIPOST HYO HYO MIKEKA WANADAI HAWAJALA HELA.

Inasikitisha sana na inashangaza Pia.

Mkeka ule ule nile mm nile hela afu wao wakose.

Sometimes mpk nafkiria kua Labda humu jukwaani

Kuna watu kwa maksudi kabisa wanalalamika ili kuwakatisha tamaa wenzao ilhali wameshakula pesa.

INANIUMA SANA MKUU.

Usiumie mkuu endelea kushusha nondooz za kumpiga kanjibai.

Mitaji midogo ndo inafanya watu wapigwee kwa kuongeza matimu
 
Kaka mdogo ukizoza hivi husomeki kabisa....inamaana mwana wewe ni mzee wa matunguli kiasi mikeka yako ni sheria au??naona kama sijakusoma vile...hebu fafanua tafadhali.
Sijui hat nifafanue nn

mana sjaelewa lengo lako hasa ni nn hasa ktk komenti yako

Iliyokaa namna hii
 
montpellier vs Metz (montpellier to win)
Legia vs Wisla (Legia to win)
braga vs belenenses (braga to win)
PSV vs ADO Den Haag (PSV to win)

Weka pesa ya kutosha hapo uhakika
Asante mkuu ila kamtaji kameisha kwa leo[emoji19]
 
BET WON

NSHAPATA LAKI 2.1 YA FASTA FASTA
Kwa ajili Ya kiwalo cha Xmass kwa wife.

Halftime: Cardiff 0:0

Hongereni sana mlionifata kwny huu mkeka.
IMG_20171216_212737.jpg
 
Back
Top Bottom