Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Every little helps brothers.
7df38388cf1276b152ad2d29367c36de.jpg
 
Bora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.

Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.

Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.

Masikini dah.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ....umenikumbusha mbali..sana kuna kipindi hii mambo ilinitokea nilikuwa nawakwepa wakala utadhani wananidai....ikabidi niwe nabadili chimbo daily...
Kuna siku mdada mmoja wakala akaniambia kaka kwenye account si utakuwa na hela nyingi sana maana kila siku unaweka pesa....nilivyosikia hivyo sikurudi tena kwake kuweka pesa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hiki kitu kinauma sana, Eti kwenye account yako utakuwa na pesa nyingi kumbe hajui wewe ni wakala wa Kanji.
 
Bora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.

Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.

Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.

Masikini dah.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nacheka siyo kama mazuri,dah hii kaz ngum sana, usione wengine hatuongei tunaumia moyon kimya kimya tu mkuu, ila ipo siku tu
 
WAKUU NAOMBENI MSAADA HARAKA,NILIBETI MATCH 14 10 ZIMETIKI 4 ZIMEBAK MOJ INATAKA KUHARIBU,NATAKA NI CASH OUT,NATUMIA CM - MKEKA BET NAFANYAJE?.
 
Back
Top Bottom