Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama mambo yangeenda sawa ingekuwa kilio na kusaga meno kwa muhindi
 
View attachment 229109

nimekesha naandaa huu mkeka nkipigwa na leo likizo inanihusu jamani....maana account inasoma 5000 tu..... Tangu november niweke salio account haikuwahi kukauka....ikikauka tu likizo mpaka april....
kama nilivyo ahidi.... Siku zote nauliwa na timu moja.....guiseley ananiua tena peke yake..... Wakubwa nilikuwepo...
 
Umetisha mkuu
 
Nadhani wengi wetu mmepiga mzungu namdosi.. Hongereni sana, na kama sivyo, Pole sana... Kesho nayo siku tukutane tena jamvini kusuka mikeka.
 
Mkuu made sio hii... Sisi sote ni askari dhidi ya mdosi... Tupeane moyo

ni kweli b5 click....ila kuna kipindi mambo yakiwa magumu inabidi umpumzike kwa muda na kwa kuwa ametuaga basi nimemtakia likizo njema ili akija awe na nguvu mpya!!Kama nimekukwaza tuwiane radhi mkuu ila sina nia mbaya.
 
Pamoja sana mkuu... Tukutane hapa kesho kwa vita nyingine
 
Acheni upuuzi mi hapa nina gesi nshaliwa milion toka nianze kuweka mzigo afu mnaleta usenge
 
View attachment 229423
Kwenye ile mingi haka ndio kaltiki lkn ndio hvyo vmitaj vyetu vya maji bac tunapata kidogo lkn nlkuwa nna uhakika nao sn huu hata lak nngeweka km nngekuwa na mzg wa kutosha
 
kama nilivyo ahidi.... Siku zote nauliwa na timu moja.....guiseley ananiua tena peke yake..... Wakubwa nilikuwepo...

Dahh pole mkuu hata me hcho kjtimu kmennyima pesa yan yuko nymbn kaanza kufunga kachomolewa na kaongezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…