Nakupa hii ..Za asubuhi wapiganaji...jana kama kuna nimemuongelea vibaya anisamehe aisee maana nilikua nimwshaweka vitu vyangu kichwani plus vipigo mfululizo kutoka kwa kanji, tupo pamoja wakuu endeeleni kushusha mizigo tuendeleze vita ya kiuchumi nina ka 50k ka nguo za mtoto wenu za sikukuu nataka nipatemo na nguo ya wife msaada please odds kadhaa
Usijar mkuu nitaweka tu baadae kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] uki bet tena uuweke apa ni copy
...jana nime lose mikeka mi3
ShukraniNakupa hii ..
A-Junioren-Bundesliga South/Southwest
Bayern Munich vs FC Augsburg
Tip: over 2.5 goal
Odd: 1.45 premierbet
Oooh..ulimweka kwenye....kokoro au team chache....??Mkuu nilitembea na huo wa kwanza nikamuongeza na Kasimpasa. Mapema sana nikatoboa mkeka.
Mara paap DEPORTIVO wanakanyaga gozi wanaanza ndefu Ter Stegen anaipiga ngumi inakuwa kona ya kwanzaTip
FC Barcelona vs. Deportivo la coruna
First corner: 1
Odds: 1.30
Barcelona atakuwa wa kwanza kupata kona
Mkuu beyern na fc ausbg first half ni under second half over but double chance ni nzuri tena home or away team winShukrani
Mfano pls ????!!!!Princess bet mbna wanaweka vi timu ata sivijui au mi ndo sijui ku search[emoji53]
Mara paap DEPORTIVO wanakanyaga gozi wanaanza ndefu Ter Stegen anaipiga ngumi inakuwa kona ya kwanza
Hiyo under na over kwa ngapi 2.5 au?Mkuu beyern na fc ausbg first half ni under second half over but double chance ni nzuri tena home or away team win
WaitMkubwa corners vipi