TO BE N SAFE SIDE ANGALIZO
HIZI TIMU WAPE DOUBLE CHANCE
TUTAKUMBUSHANA BAADA YA MECHII
Ac millan
Liverpool
JUVENTUS
Watch out them today
waitaliano wanabet. ila si mbaya nimempa dc 12Milan kashapigwa kimoja
teh tehKama umempa ushindi AC Milan bhasi kazi ipo hii game naoana wanaruka ruka tu hata mashuti wanapiga vshut mtoto humu
vipi upo likizo aumpo wazee wenzangu
kanjibhai anawasalim
likizo imeisha ninerudivipi upo likizo au
Kokoro mkuu.Oooh..ulimweka kwenye....kokoro au team chache....??
Mimi ndani ya kokoro langu huwa napick team mbili mpaka nne zingine naokoteza kwa wadau naweka mzigo mnene...
Kokoro hilo la kwanza mkuu.Oooh..ulimweka kwenye....kokoro au team chache....??
Mimi ndani ya kokoro langu huwa napick team mbili mpaka nne zingine naokoteza kwa wadau naweka mzigo mnene...
Naona hao watoto wa Bayern wanakaribia kuuchana mkekaShukrani
Over 2.5 imetoa mkuu...shukrani kwa joaquenNaona hao watoto wa Bayern wanakaribia kuuchana mkeka
Watoto wametoa Ov 2.5 dk za mwsho dahShukrani
ahahahahahah mkuu za masiku.likizo imeisha ninerudi