Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hebu nkuulze mkuu kuliwa milion kwa mapenz yako mwenyewe kuna hucka vp na kuita watu ------- humu wkt hakuna hata alio kula 10 yako kwenye hyo milion??hebu jrb kujfunza usharabu kdg kutukana hazaran n kosa mkuu.

Umejibu vyema sana Mkuu kula 100
 
Naombeni maelezo jinsi ya kuwithdraw money meridian naombeni process zake nikale supu sahizi please
 
Wadau jaribuni hii
 

Attachments

  • 1424846890267.jpg
    55.7 KB · Views: 189
Duh yani mechi moja tu tulikua tunaamka na laki nane...mhindi tutampata tu

Wa...se...nge sana hawa Dunfermline yani wako home lakini walishindwa kupiga goli dahhhh....

Haina noma ngoja leo nijaribu nyingine za mapema kufikia saa mbili tumejua moja.
 
meridian nmedeposit hela toka juz haijaingia msaada wadau
Watumie meseji ikiambatana na ID namba yako. pamoja na meseji za muamala kutoka vodacom. kisha wapigie simu uwaeleze watakusaidia.

namba zao ni 0754303031/0754303032
 
meridian nmedeposit hela toka juz haijaingia msaada wadau
Pengine uliandika jina badala ya kuweka number wakati unadeposit ela...ila hakijaaribika kitu wapigie huduma kwa wateja namba zao hizi hapa 0754 303 032 au 0754 303 031 watakuingizia mara moja
 
Wa...se...nge sana hawa Dunfermline yani wako home lakini walishindwa kupiga goli dahhhh....

Haina noma ngoja leo nijaribu nyingine za mapema kufikia saa mbili tumejua moja.

Yan me mpk mechi za leo con jnc walvyo nvuruga huyo na mwenzie Guiseley nlkuwa na mahesabu ya lak6 kwacku ya leo lkn dah kwel mpr hauna adabu,Naomb tu wadau kwaleo mkiweka me ntachukua
 
meridian bado inanisumbua sana option zake na sijapata wa kunielekeza, nlozoea premier betting, huku naliwa sana kiboya kwa kutokujua
 
tujadili huu hapa wa leo wazee
 

Attachments

  • screenshot_20150225_133921.png
    5.1 KB · Views: 184
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…