Mkuu Hapa nataka nitembee na wewe kuanzia mount uliyoweka...inamaana unaweka mikeka mi4 tofauti?au huu umeweka ni mkeka mmoja??Wakuu....
Nateleza namna hyo,
Odds 2.07
Stake: 100,000 Tsh
Marejesho: 207,000Tsh
Niko serious nahitaji hela ya fuso moja ya balimi usiku wa leo.
View attachment 652958
HABAR ZA MCHANA WAKUU.
Nna shida na pesa km Laki 2 hivi.
Nnahitaj ntoke out tukapge balimi za kutosha na baba mkwe usiku wa leo.
Odds 2.33
Stake: 90,000 Tsh
Marejesho: 206,700 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 652911
Ha ha ha...WEKAAA MKE WATOTO NA HGAL
FLEETWOOD GG
YOUNG BOYS OV 2,5
2.FLEETWOOD OV 1,5
YOUNG BOYS GG
3.HIII 95%SURE ILA TOA MKE ACHA WATOTO NA HGAL
Fleetwood 1-1
Youngboyz win 2-1
All the best
OkMkuu Cheki Basi Pm yako.
Yalinichania mkeka wangu game iliyopita kushindwa kutoa over leo yameshampiga mtu sita kwa oohYaani hawa ***** siku usiyotarajia ndio wanashinda goli nyiiiiiingi....Mxiiiiii!!!!!
View attachment 652976
Duh,Hellas Verona vs AC Milan
Score: 2 - 0
Min: 59
Yellow to None
None
Yumo kwny mikeka yako Mkuuhali ni mbaya sana kwa ac milan
Week hii Scotland league imekuwa vice versa jana alinza Ranger leo nayo cjui atafuata.....
Heart 1 celtic buyu
Kwani wee unaonaje hapo?Mkuu Hapa nataka nitembee na wewe kuanzia mount uliyoweka...inamaana unaweka mikeka mi4 tofauti?au huu umeweka ni mkeka mmoja??
Hyo ni mikeka 2 tofauti kabisa.Mkuu Hapa nataka nitembee na wewe kuanzia mount uliyoweka...inamaana unaweka mikeka mi4 tofauti?au huu umeweka ni mkeka mmoja??