sawa mkuuyaani ukimpa huyp goli mbili kabla ya mechi ili man u ashinde inabidi ashinde kwa tofauti ya goli 3 ili iwe 3-2
United akishinda goli mbili inakua sare UMELIWA coz ni draw, United akishinda tofauti ya goli tatu anakua ameshinda wewe UMELIWA piamkuu samahani kama nitakusumbua, inakuwaje hapu United ashinde kwa tofauti ya magoli 3 wakati huyo mwingine mwingine ana goli 2
Hapa nipo najiuliza sijui nipite tena kwa wakala niige mwinginePole sana mkuu.
Uskate tamaa.
Kama ulkua serious KUDESA.
Naamin MIKEKA yangu itakutoa.
Mambo uku ni mazuri so far.
Timu zinaitendea haki pesa yangu.
[emoji23][emoji23] kwa waliobet over 1.5 wanacheka maana watu wanafungana sanaMikeka imetoboka toboka kama nyavu za kuvulia dagaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
We jamaaa umenipa akili jana ...sitakusahauuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] [emoji106] [emoji106] much respect to uuuligi ufaransa raha sana
Kule hela nje nje na mapema sana
Olympic Lyon na PSG wananikosha sana leo.
Ni mwendo wa kutick mikeka mapema sana.
We jamaaa umenipa akili jana ...sitakusahauuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] [emoji106] [emoji106] much respect to uuu
Tatizo wengine hawafungi....wao ni kufungwa tu mfano Milan, Celtic, Anderletch wote hawa wanapigwa KO.....za 3-0, 4-0, 5-0[emoji23][emoji23] kwa waliobet over 1.5 wanacheka maana watu wanafungana sana
Hizi Milan zote hazifaiAC Milan sio timu ile,, ishakufa. Possesion anaongoza yeye, afu anafungwa
Mkuu hongera.. Mi nasubiri 4 kwa Man UWAKUU....
JAMANI ITALIA RAHA SANA.
Mpk sahv MECHI ya sampdoria ina corner 8 half time.
Nawadai corner 1 tu nifunze nao hesabu
View attachment 653016
Wakati jana unawasema watu wanaopoteza pesa kwa muhindi kwa poor strategy i was among them....nmejaribu kupitia mikeka yako a nyuma nikakuelewa saaana....thank u.nlikupa akili ipi mkuu?
Naomba link mkuu nimeangalia google siioni hyo ya freeAndikagoogle smart tips predict
Angalia zitakuja nyingi select imeandikwa free pred...msibaukohapo
Akikujibu nitag nami nimeisaka nimekosaNaomba link mkuu nimeangalia google siioni hyo ya free