Huu mkeka ni lazima utusue mzee.
Duu hii michezo tunakaribisha ugonjwa wa moyo, tuombe mungu hapafinal score ya athletico ndo inanitia kiwewe japokua Liverkusen amekua chai sana siku hizi
Jaman online tangu juzi haifunguki kabisa iwe app au Web zote hapana au simu yangu tuu?
Wazee nipeni link nipate meridianbet app mana hapa me nko hoi, nimeitafta sana playstore olaah!!
Duh Leo zimeenda kinyume kabisa
Mhh naleo tena moja hii ss cfa mzungu tuna umizana moyo jaman,.Dah athletico katuua na leo tena ila sio mbaya atafutae hachok ipo siku atalipa haya yote.
Duu mtaji unahusika nianze kuwapiga kama zamani, ila kama kuna mtu anaitumia hiyo opportunity ya GG peke yake akaweka mpunga mrefu basi anatoka vizuri.
Ngoja niandae mwingine leo ambao utakua ni trial ya 3 kwenye hii method, ukikikataa basi nitafanya change ya plan kwenye stake na idadi ya timu. I meshaliwa elfu 20 kwenye hii kitu, target ilikua 30.
Pia nitaweka akiba ya kesho coz kuna game nyingi sana.