Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hebu fanya hvyo mana ss nmeamua kuwekeza kiukwel nmeandaa mtaji wa lak2 kwaajl ya biashara hii nazan nktulia inaweza kulpa fasta.
 
Trabnozpor win
Achiles win
samsungspor win
belenes win
cska moscow win
ignolant win
 
Hizi ni mechi za South Korea za leo, cheki ni ipi itaenda under! My prediction ni hiyo ya pile yenye 161! Ila sijaweka mzigo naangalia tu kwanza.

Wakuu nataka kubet Kama ifuatavyo. Mechi za jumatano....... Arsenal,Chelsea,man utd,man city na Liverpool zote zipate at least magoli Mawili kila mmoja. Odds Kama 9.7 Ivi Nitie laki. Nakaribisha maoni wakuu kuna usalama hapa?.
 
wanacheza na timu gani kila moja....
 
Hizi ni mechi za South Korea za leo, cheki ni ipi itaenda under! My prediction ni hiyo ya pile yenye 161! Ila sijaweka mzigo naangalia tu kwanza.

View attachment 231073

SAKERS head to head zao 5 zilizopita 2 zime over ..3 under
Incheon nao mechi 5 head to head 2 zimeover ...3 under
lolote linatokea ni za kuangalia...
 
japokua game ya man utd na ya chelsea are very tricky but with odds ya 2 man utd na 1.65 chelsea it is worthy taking the risk
 
SAKERS head to head zao 5 zilizopita 2 zime over ..3 under
Incheon nao mechi 5 head to head 2 zimeover ...3 under
lolote linatokea ni za kuangalia...

Sure, ndiyo maana nikasema sijaweka mzigo, naziangalia tu.

However, my instincts zinaniambia game ni under!
 
wakuu kuna kitu kimoja nimekigundua kwenye betting ya soka,game zenye pointi sawa au tofautiana kidogo zinazokutanisha timu kubwa na timu ndogo,mara nyingi timu ndogo huwa zinashinda mfano lille vs lyon wote walipewa 2.64 na mwisho wa siku lille alishinda,pia derby na fulham mwisho wa siku fulham akashinda,southhampton na westbrom westbrom akashinda na hata napoli jana mmeona, mlolongo huo unaendelea zaidi na zaidi ni mara chache sana upande mwingine huwa unashinda au kutoa droo so wadau hii tip tuifanyie kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…