mwanamajimbi
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 601
- 152
nasubiri psg ashinde nile mil 2.9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasubiri psg ashinde nile mil 2.9
Natia laki liwalo na liwe.. Asante kwa taharifa mkuu wangu
View attachment 231032View attachment 231035
dah...nkasema nijaribu kurudi mzigoni....michezo rahisi...ona nilivofanywa
Wazee wenzangu kwenye Basket kuna ligi ya Philippine, inaitwa Commissions Cup, game zake zinachezwa saa 5:15 (tano) asubuhi na saa 8:00 (nane) mchana, hizi mechi nimezisoma na kuzielewa vizuri.
Game ni dakika 12 kwa quarter na ni quarter 4, jamaa wanafunga sana sana lakini mara nyingi unakuta total points wanapewa 176; wao wanaenda mpaka 190-200.
Kati ya game 5, 4 zinakuwa over, so unatia mpunga mwanzoni tu game haijaanza unasubiri zako kwenda kuvuta hela game ikiisha.
Kesho game hakuna mapaka Jumanne, nitawakumbusha kuangalia odds zikishawekwa, pia baada ya mechi tutapeana mrejesho, nataka tuone kama wote tukifikia conclusion moja basi tufikirie kuwekeza huko.
Pia ligi ya Korea Kusini inakuwa na under nyingi sana, kati ya kumi utakuwa na under 7 on average.
Angalieni stats flashscore.com tupeane mawazo zaidi.
Trabnozpor win
Achiles win
samsungspor win
belenes win
cska moscow win
ignolant win[/QUOTE
kila la kheri jana nimeokolewa na 45 minutes ya m-bet
View attachment 231057
haya sasa changanya na zako
Kila la kheri
wanacheza na timu gani kila moja....Wakuu nataka kubet Kama ifuatavyo. Mechi za jumatano....... Arsenal,Chelsea,man utd,man city na Liverpool zote zipate at least magoli Mawili kila mmoja. Odds Kama 9.7 Ivi Nitie laki. Nakaribisha maoni wakuu kuna usalama hapa?.
Hizi ni mechi za South Korea za leo, cheki ni ipi itaenda under! My prediction ni hiyo ya pile yenye 161! Ila sijaweka mzigo naangalia tu kwanza.
View attachment 231073
wanacheza na timu gani kila moja....
SAKERS head to head zao 5 zilizopita 2 zime over ..3 under
Incheon nao mechi 5 head to head 2 zimeover ...3 under
lolote linatokea ni za kuangalia...