Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

barnsley
bradford
preston
newport county
bari
vicenza
pescare
mkeka mmoja nimewapa kila mmoja apate goli 1st half. stake-10000
payout-908000

mkeka mwingine nimewapa wote wapate magoli mawili stake-10000
payout-1907000
betting co-MERIDIAN BET
 
morton
brechin
middlesbrough
brentford

kila mmoja apate goli mbili
stake-40000
payout-303000

betting co-MERIDIAN BET
 
Yakubu naomba timu 3 za uhakika mkuu wa kazi.

Ibra MO
Mkuu ngoja ss ndio ntaka niingie kzn rasmi ntaanza kushusha vtu muda co mrf na timu zako 3 utapata nkjarbu kukupa na dondoo il na ww kujrdhsha zaid.Leo nmepania mzungu hawez kutoka bla hata elf20 yake kuila
 
Hahaha mkuu tia mikeka ya mia mbili mbili ishirini hakika hukosi 50000 hahaha hako ni kaujanja Ka siye wenye mitaji midogo dail lazima nimle hata 5000 so mwisho wa week nakusanya mahesabu yangu kiroho safii juzi nimekula kote kote nikaona nipunguze kidogo ya vocha
 
kibajaji toa maelezo mazuri pia huo ni kampuni ipi
 
kibajaji toa maelezo mazuri pia huo ni kampuni ipi

Hiyo ni meridian wanatoa hadi mkeka wa sh100 so akili kumkichwa majuzi nilicheza mkeka wa mia nikala 45000 mwingine nikala 27300 kwa mia, so meridian ipo vzr kwa online huo ni mtazamo wangu kama unawekeza vzr unaweza shangaza ulimwengu kwa betting
 
WEST BROM WIN
CRYSTAL PALACE WIN
SUNDERLAND WIN.. stake 10,000/= uwezekano wa kushnda 384,782/= via vodacom m-bet...
 
Ibra MO
Mkuu ngoja ss ndio ntaka niingie kzn rasmi ntaanza kushusha vtu muda co mrf na timu zako 3 utapata nkjarbu kukupa na dondoo il na ww kujrdhsha zaid.Leo nmepania mzungu hawez kutoka bla hata elf20 yake kuila

Pa1 kiongozi...nasikilizia hayo madini huyu kanjibai leo hatoki.
 
Wadau nauweka jamvin huo kwaajl ya upembuz hapo bd cjautoa nasubr maon na ushaur ndio ntupie mzg nmeutengea 10,000
 
View attachment 231480
Wadau nauweka jamvin huo kwaajl ya upembuz hapo bd cjautoa nasubr maon na ushaur ndio ntupie mzg nmeutengea 10,000

Hapo kwa bornemouth pagumu siku za karibuni amekuwa off-form ndomana kadrop kutoka position ya kwanza hadi ya 4 na wolves kwa sasa wapo vizuri ni bora ungechagua kati ya key dons na swindon ukampa m1.
 
Hapa nmeona km leo anaweza kujiulza kutokana na yalio tokea lkn wcwc ndio akil namchomo fasta namuweka Swindon kdg yuko vzr
 
Brentford na huddersfield game ya sare hiyo. hapo waweke bristol rover

Huyo Bristol amepata matokeo mazur mfululzo sn leo kuna uwezekano mkubwa wakudrop sema kwa kufata mawazo yako mkuu natengeneza mkeka mwengne utakuwa km ulvyo shaur.napenda sn mawazo ya wadau na huwa nayachukua na kuyafanyia kaz papo hapo
 
Pesaaaaaaaaaaa
 
Attachments

  • 1425393189554.jpg
    46.6 KB · Views: 172
  • 1425393218059.jpg
    45.6 KB · Views: 161
  • 1425393239447.jpg
    43.1 KB · Views: 150
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…