Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Update......
Kwa matokeo haya first half, kwny hii mechi.

WALE MLONIFATA KTK MKEKA No. 2

Tayar, Tumeshafunga biashara na hawa Australians.

Amebaki Tottenham peke yake

Inabd atupatie corner 9 tu tupeleke kilio kwa muhindi kwny huu mkeka.

Pia kwny mkeka No. 1
Nako mnatia tick maana coaster mariner tayar wameshashindwa kutoa clean sheet mpk sahv.
View attachment 659846

Mkuu kumbe usiku wa manane ulitupia, dah nimechelewa.

Naomba uwe unanitag kamanda
 
Update......
Kwa matokeo haya first half, kwny hii mechi.

WALE MLONIFATA KTK MKEKA No. 2

Tayar, Tumeshafunga biashara na hawa Australians.

Amebaki Tottenham peke yake

Inabd atupatie corner 9 tu tupeleke kilio kwa muhindi kwny huu mkeka.

Pia kwny mkeka No. 1
Nako mnatia tick maana coaster mariner tayar wameshashindwa kutoa clean sheet mpk sahv.
View attachment 659846

Tupo pamoja mkuu mpambano na uendlee
 
Mkeka No 4

INPLAY BET

Odds: 2.75

Stake: 20,000 Tsh
Marejesho : 55,000 Tsh

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20171226-130515.png
 
sawa, japo huyo mkeka wa Australia nilikuwa nauvutia pumzi mana niliuona unahitaji stake ya kutosha now nakuja kucheki kumbe mechi ilishaanza
Usjali, bado tuko pamoja.

Nmetupia mkeka No 4.

In play bet, Unaweza kuuwah ukapate hela ya supu.
 
nataka nicheze NO RED CARD timu zote za England leo weekend zilitoa kasoro mavi u tu
 
Back
Top Bottom