DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Ha ha ha....Wa Australia leo wamegoma hadi Over1.5...dah kweli jana walivimbilwa pilau la Christmass
Hata corner Nazi naona wamegoma kutoa
Ha ha ha....Wa Australia leo wamegoma hadi Over1.5...dah kweli jana walivimbilwa pilau la Christmass
Pole sana mkuuHawa jamaa ma3enge sana wamekula buku tano yangu ya balimi asubuhi asubuhi
Huyo Eupen ana striker mbovu sn msimu huu.
Uko kwao sio kwa kutabirika kabisaHa ha ha....
Hata corner Nazi naona wamegoma kutoa
Mkuu,
Brother hii ni MeridianbetMkuu hivi hii ni kampuni gani?
Ligi gan mkuu, mbona princess sizioni?View attachment 659873View attachment 659874View attachment 659876View attachment 659877View attachment 659878View attachment 659879hizi game kama zipo kwenye kampuni yako siyo za kuziacha. Mimi princess nimezipata hizo mbili
Ndo maana wamebusti odds 3 ni ngumu sana kutoa ila tungojee tuone inaweza ikawa ndo siku yao leoHuyo Eupen ana striker mbovu sn msimu huu.
Sidhan km atawz kukupa goli 1st half na 2nd half
Ni Ligi gani hii kwani?
Mkuu hii game inaweza ikaisha 3-3 au draw ya magoli mengi days y nikaona niwape sio mbaya na kuna mkeka mwngne nimewapa 3+ akpgwa au suluhu itabd kuchana mikeka yoteMkuu,
Unaonekana unamwamini sn Eupen.
Eupen ni timu mbovu sn ubelgiji na iko mkiani mwa Ligi.
Na iko kwny hati hati ya kushuka daraja.
Sasa nashangaa sn unaiamini kias hicho na kuipa kwny mikeka yako yote miwili.
AU UTAMU WA ODDS UNAKUCHANGANYA NDUGU YANGU?
View attachment 659897
HABAR ZA ASUBUH NDUGU ZANGU
Mwenzenu, Christmas ndo naianza namna hii.
Odds: 2.42
Stake: 55,000 Tsh
Marejesho: 133,100 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 658734
Wakenya hao
Shida yenu mnatupia wakati gemu zimeshaanzaMzee wa odds kubwa kubwa, hebu uwe unanitag hii mikeka yako mkuu
Ungewavizia under 1.5 first half km mimi.View attachment 659902
Pamoja na kua na rekodi safi ya Over 1.5....leo eti wameshindwa kutoa Over1.5
Wales premier leagueNi Ligi gani hii kwani?
Ushauri: weka over 1.5Mkuu hii game inaweza ikaisha 3-3 au draw ya magoli mengi days y nikaona niwape sio mbaya na kuna mkeka mwngne nimewapa 3+ akpgwa au suluhu itabd kuchana mikeka yote
Ngoja nicheckWales premier league