Franco Dsm
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 565
- 423
Together brotherUshauri: weka over 1.5
Inatosha kabisa kuboost mkeka wako.
Acha kujitia kwny risk zisizo na maana.
Together brotherUshauri: weka over 1.5
Inatosha kabisa kuboost mkeka wako.
Acha kujitia kwny risk zisizo na maana.
PoaNgoja nicheck
Huo mkeka ulioquote si mkeka wa jana na ulisha chanika.tupe mrejesho mkuu
England league za mchangani (amerture)Ligi gan mkuu, mbona princess sizioni?
Sawa kabisa ingawa safe bet ni stoke ashinde au drooStoke anashinda, leicister anashinda na Everton anashinda mkuu
Kama Rooney akicheza huhakikaWest Brom vs Everton
Tip: Home clean sheet - NO
Odds: 1.53
Jamani Everton atashindwa kufunga goal moja kweli leo????
Ha!England league za mchangani (amerture)
Everton hatabiriki.West Brom vs Everton
Tip: Home clean sheet - NO
Odds: 1.53
Jamani Everton atashindwa kufunga goal moja kweli leo????
Mkuu nauhakika stoke anashinda hii game ya leo lazima hao jamaa hawana uwezo wa kumpiga stokeSawa kabisa ingawa safe bet ni stoke ashinde au droo
Dah,Lacazete [emoji25] na firmino [emoji34] wasipocheza makida leo mkeka utakuwa win
![]()
Shida haeleweki ushindi wake mwingi cku hizi ni wa bahat nasibu.Mkuu nauhakika stoke anashinda hii game ya leo lazima hao jamaa hawana uwezo wa kumpiga stoke
[emoji2] [emoji2][emoji109] [emoji23]Dah,
Kuna watu humu mna roho ngumu sana aisee.
Watford hawezi kushinda,ana idadi kubwa ya majeruhi,pia mshambuliaji wao tegemeo(Delaney) suspended, wengine hao sijuiHizo game zipo perfect 12 M-bet
Huddersfield 1x
Watford win
Everton 2x
Mkuu leo Huddersfield waaumia hawana forward wale jamaa...stoke game iliyopita alishinda 3 hata mimi nimempa stoke leoShida haeleweki ushindi wake mwingi cku hizi ni wa bahat nasibu.
wadau nabetije mtandaoni..naona kabisa man city anapoteza..kwenda banda LA kubetia udwanzi..wataniimba weeSawa kabisa ingawa safe bet ni stoke ashinde au droo