Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kulaleki yani hii gemu ya spurs nilibet under 4.5; nakuja cheki matokeo nakuta yamevuka magoli na yapo over 5.5. Kachana mkeka wangu shenzi kabsa yan
 
Duuuh bora mkeka uchanike baadae kwenye game nyingi kuliko kuchanwa na game za mapema. Club brugge anawasalimia
 
mechi1tu.PNG
WAKUU, MWENYE UELEWA WA HII JAKPOT KWENYE 1XBET
 
Back
Top Bottom