Hawa wajinga wana fix matches wakati me niliweka Home win, walikuwa wananipa presha tu
RayzsurebetHii ni application gani mkuu? Naona wako vizuri sana I see!
Hawa wajinga walifix HT/FT -2/1
ngoja nami nichek uwezekanonataka nicheze NO RED CARD timu zote za England leo weekend zilitoa kasoro mavi u tu
Lacazete [emoji25] na firmino [emoji34] wasipocheza makida leo mkeka utakuwa win
![]()
MKEKA No 4
Odds 2.6
Stake: 39,000 Tsh
Marejesho: 104,000 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 659946
Leo ndio itakua mara ya mwisho kumbetia spura kwenye kona haswa akiwa anacheza na wapuuziSpurs baada ya kufunga goli 4, amesimamisha kona yani haziongezeki
Na Over 2.5 ilikua na Odds za kutosha tu kama 1.7Yaani kona zimesimama kabisa na wengi tulikimbilia kwenye kona
Kona zitatick 2,so bado nneSpurs baada ya kufunga goli 4, amesimamisha kona yani haziongezeki